Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Bbc =Robert Amsterdam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bbc =Robert Amsterdam.
Wewe jukwaa hili siyo mahali pako. Tafuta, huenda kuna jukwaa la wajinga. Hapo patakufaa sana.Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Nawaza tu,hivi tume ikiamka na kusema TL kavunja kanuni moja,mbili,tatu na kwa sababu hiyo inamuondoa katika kinyang'anyiro cha U Rais,ni lipi litatokea?Kuna watanzania kiasi gani watakuwa nyuma ya Lissu?Tumeshuhudia uchaguzi wa serikali za mitaa ukivurugika na leo hiyo serikali za mitaa zipo chini ya Chama kimoja nchi nzima,nini kimetokea,Waziri na wasimamizi waliovuruga wamefanywa nini?Vyama vya upinzani vimeenguliwa wagombea 300+ kwenye nyadhifa mbalimbali,kipi kimetokea?Ni ujinga wakati fulani kufuata amri au maelekezo ya mjinga au mwendawazimu.
Mahela avuruga sheria na taratibu kwa makusudi, halafu Lisu akate rufaa. Big No.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio lissu mwenyewe, unajisupportLissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani
Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi
Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert
Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Ngoja tuone sasa kati ya Tanzania Vs R.Armstadam nani atapapaswa.
Hizo ni propaganda za kijinga
Hilo jina la Bia Yetu lina mfanano fulani na lile la Pombe. Isije kuwa wewe ndiye Mzee mwenyewe ukiwa umejificha nyuma ya keyboard kutuletea na kutetea pumba zako hapa jukwaani.Lissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote
Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani
Usifuate sheria za Uchaguzi,Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi
Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert
Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
Hilo jina la Bia Yetu lina mfano fulani na lile la Pombe. Isije kuwa wewe ndiye Mzee mwenyewe ukiwa umejificha nyuma ya keyboard kutuletea na kutetea pumba zako hapa jukwaani.
[emoji23][emoji23][emoji23] si unaona unavyojitekenya na kucheka wewe mwenyewe. Hizo ni takwimu za mfa maji, akijaribu kuokoa maisha yake.
Pole najua itakuuma hadi October 27 kura zitapanda hadi 98%[emoji23][emoji23][emoji23] si unaona unavyojitekenya na kucheka wewe mwenyewe. Hizo ni takwimu za mfa maji, akijaribu kuokoa maisha yake.
PovuuuuuuuuuLissu kuendelea au kutokuendelea na kampeni huna influence nayo. Kimsingi hahitaji hata ushauri achilia mbali maoni yako.
Kwa taarifa yenu Lissu anasonga mbele na hakuna kinachomsimasha. Wapelekee waliokutuma kuja kupima maji habari hiyo.
Povuuuuuuuuu
Iko deep sana hii, huwa natamani siku moja nchi hii tuungane tuwe wazalendo wa Taifa na sio Vyama vyetu. Lakini watu wako radhi binaadam wenzao wafe ili tu wao wabaki madarakani, kwani binaadam tutaishia wapi, tunapita tu hii dunia, yuko wapi baba wa Taifa, yuko wapi mzee Mkapa, wapi Sita n.k walikuwa viongozi lakini leo hawapo, kwa nini umuue binaadam mwenzako, umdhalilishe, umtese... kisa tu anadai haki yake, na iko wazi. Kuna haja ya kujitafakari upya sisi wananchi na viongozi wetu.Kaka faida kubwa dunia ya watu wenye upeo mkubwa uwa hawaogopi. Haki huwa inapiganiwa haijileti (justice doesnt come on silver plate) hupiganiwa. Nyerere alikuwa aggrisive kuliko LISSU tena katika mateso makubwa kutoka Pugu secondari kwa miguu mpk magomeni kukutana na akina Paul Rupia. Kwenye vitabu vyake anasema kuanzia Pugu mpk magomeni mwaka 1956 kulikuwa ni pori mpk simba, na ilimbidi apite usiku ili utawala wa kikoloni usimuone. Wew mleta post kwa mguu magomeni mpk pugu hauwez nenda na ni lami tupu. Lissu anapita kwenye UVULI wa mauti, ila kuna cku apata anachopigania. Anatuangaikia sie tusiokuwa na sauti wala ujasiri wa kumkabili Magufuli. Lissu ni mwanaume, sio kazi ndogo kumlegeza mzee baba ambaye aliifanya nchi kama shamba lake. Kajaza nafasi za hela ndugu zake. Wala hata aibu hana.
Tuambieni Lissu Yuko wapi? Katii amri ya necklace? Kama katii atakuwa mtu mshenzi sanaSafi sana chuma, washike hapo hapo,
Wadhalimu Wana mwisho,Kama Walishindwa kumuua Mandela,Hawa makaburu weusi,hawatupi shida,umewakamata vzr,kazia hapo hapo