Bia yetu a.k.a pombe a.k.a jiwe ndani if tumekubainiHilo jina la Bia Yetu lina mfanano fulani na lile la Pombe. Isije kuwa wewe ndiye Mzee mwenyewe ukiwa umejificha nyuma ya keyboard kutuletea na kutetea pumba zako hapa jukwaani.
Mbeligiji kesha tepeta hii ndiyo Tz ya Mwalimu!!Tuambieni Lissu Yuko wapi? Katii amri ya necklace? Kama katii atakuwa mtu mshenzi sana
Serious jamaa ametumwa na ametumwa kweli. Ukitaka kujua mfuatilie anayemtaja kuwa ni wakili wake Robert Amsterdam. Hao jamaa wamewang'oa sana viongozi wa Africa sehemu mbalimbali sasa hivi wako na Lukashenko wa BelarusKwa hapa mabeberu wamepata mtu konki, wanachotaka kupitia kwa Lissu kinaweza kutimia this time around. Kwa ujasiri huu huyu katumwa.
The confusing part is, mbona Mbowe yupo kimya sana, mbona haongei wala kujibu chochote?
cheki Youtube Dar Mpya Tv
Lkn situna kaa mitaani pamoja na nyinyi kwahiyo kikianzishwa sisi tuna dili na nyinyi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hii ndio inaitwa 'point of no return' kama NEC wanakiuka taratibu wajiandae kukabiliana na athari za matendo yao
Akate rufaa kwa lipi?
1. Hakuwahi kuletewa malalamiko juu yake ili yasikilizwe.
2. Mbili hakuwahi kusikilizwa.
3. Tatu, hata hayo maamuzi yaliyofikiwa hayajapelekwa kwake.
Inaonekana unapenda sana kuwa mtu wa ndiyo mzee.
Mahakamani haendi na kampeni kama kawaida halafu tutarudi humu kuongea. Shida yenu think tank yenu ni myopic, hayo mnayofanya ndio mnamuongezea credibility Lissu.
Awamu hii mtaenda mahakamani nyie, Lissu ataendelea na mikutano.
Kanuni na sheria za uchaguzi zinaitaka tume kumpelekea mgombea malalamiko wala si kupitia Chama chake
Walipokua wananyimwa form wagombea wa ubunge na udiwani wa Chadema hata Chama kilipoingilia Wakurugenzi hawakuwasikiliza ilibidi Wagombea wenyewe ndiyo wajipiganie.
Vipi leo ameendelea na kampeni?Safi sana chuma, washike hapo hapo,
Wadhalimu Wana mwisho,Kama Walishindwa kumuua Mandela,Hawa makaburu weusi,hawatupi shida,umewakamata vzr,kazia hapo hapo
Tumia akili kidogo lisu Ndo mgombea na so chama na yeye Ndo kasimamishwa kupiga kampeni na Wala si chama ivyo wajibu wa kujibu uko kwa lisu mwenyewe na Wala si chama tumia akili japo kidogo mkuu
Safi sana Lissu. Tunaendelea na kampeni na watupige tu hayo mabomu yao na risasi zao!!!
Mwaka huu lazima kitaekeweka tu!!$ dadekiii
Safi sana Lissu. Tunaendelea na kampeni na watupige tu hayo mabomu yao na risasi zao!!!
Mwaka huu lazima kitaekeweka tu!!$ dadekiii
Wanasaccos leo wamepoa sana! Tayari wameshatiwa dole!! Hahaha!Mbeligiji kesha tepeta hii ndiyo Tz ya Mwalimu!!
Huu ni uonevu hakuna kukata rufaa Lisu Enedelea na Kampeni. Aitwe na huyuo mgombea wa CCM akatae kauli zake za kutowahuduymia wapiga kura wasiomchagua.
Huyu ndo Tundu Antiphas Lissu ninayemjua mimi. Hakuna kurudi nyuma dadekiiii!!
Kama haukusikiliza na kuelewa naomba usini quoteKwa hiyo kamati kuu kukubali adhabu ya NEC wamefanya makosa? Maana barua haijafika kwa lissu
Lissu alitoa msimamo na zaidi alisema anasubiri maamuzi ya kamati Kuu na lolote watakaloamua kamati kuu yeye atafuata. Hivyo tunafuata msimamo huu mpya uliotolewa na kamati Kuu kwa sababu Lissu alisema ndo yatakuwa maamuzi ya mwishoImekuwa tofauti, hataendelea na kampeni. Tuwe tunasubiri kwanza
Jahahahhaahaa umeandika kwa mbali ka vile huna akili ila ukisogeleea nikweli huna akili.
Unadhan lissu kwa aloyapitia, kuna kitu kitakachomuondoa kwenye mstari wa kile anavhokisimamia???