Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Hilo jina la Bia Yetu lina mfanano fulani na lile la Pombe. Isije kuwa wewe ndiye Mzee mwenyewe ukiwa umejificha nyuma ya keyboard kutuletea na kutetea pumba zako hapa jukwaani.
Bia yetu a.k.a pombe a.k.a jiwe ndani if tumekubaini
 
Kwa hapa mabeberu wamepata mtu konki, wanachotaka kupitia kwa Lissu kinaweza kutimia this time around. Kwa ujasiri huu huyu katumwa.

The confusing part is, mbona Mbowe yupo kimya sana, mbona haongei wala kujibu chochote?
Serious jamaa ametumwa na ametumwa kweli. Ukitaka kujua mfuatilie anayemtaja kuwa ni wakili wake Robert Amsterdam. Hao jamaa wamewang'oa sana viongozi wa Africa sehemu mbalimbali sasa hivi wako na Lukashenko wa Belarus
 
Unaona sasa nyie washabiki mnavyoaibika?
Kamati kuu ya chama imeamua kukata rufaa, hapo vipi?
Akate rufaa kwa lipi?
1. Hakuwahi kuletewa malalamiko juu yake ili yasikilizwe.
2. Mbili hakuwahi kusikilizwa.
3. Tatu, hata hayo maamuzi yaliyofikiwa hayajapelekwa kwake.
Inaonekana unapenda sana kuwa mtu wa ndiyo mzee.
 
Umeona maamuzi ya leo? Hii comment yako upo tayari kuifuta?
Mahakamani haendi na kampeni kama kawaida halafu tutarudi humu kuongea. Shida yenu think tank yenu ni myopic, hayo mnayofanya ndio mnamuongezea credibility Lissu.
 
Kwa hiyo kamati kuu kukubali adhabu ya NEC wamefanya makosa? Maana barua haijafika kwa lissu
Kanuni na sheria za uchaguzi zinaitaka tume kumpelekea mgombea malalamiko wala si kupitia Chama chake
Walipokua wananyimwa form wagombea wa ubunge na udiwani wa Chadema hata Chama kilipoingilia Wakurugenzi hawakuwasikiliza ilibidi Wagombea wenyewe ndiyo wajipiganie.
 
Safi sana chuma, washike hapo hapo,
Wadhalimu Wana mwisho,Kama Walishindwa kumuua Mandela,Hawa makaburu weusi,hawatupi shida,umewakamata vzr,kazia hapo hapo
Vipi leo ameendelea na kampeni?
 
Sasa maamuzi ya leo chama kimekosea? Maana lissu hataendelea na kampeni
Tumia akili kidogo lisu Ndo mgombea na so chama na yeye Ndo kasimamishwa kupiga kampeni na Wala si chama ivyo wajibu wa kujibu uko kwa lisu mwenyewe na Wala si chama tumia akili japo kidogo mkuu
 
Imekuwa tofauti, hataendelea na kampeni. Tuwe tunasubiri kwanza
Lissu alitoa msimamo na zaidi alisema anasubiri maamuzi ya kamati Kuu na lolote watakaloamua kamati kuu yeye atafuata. Hivyo tunafuata msimamo huu mpya uliotolewa na kamati Kuu kwa sababu Lissu alisema ndo yatakuwa maamuzi ya mwisho
 
Back
Top Bottom