umeamua kuwa upande Wa madikteta? Yaani MTU atoe hotuba halafu usiirushe live mpaka ukamuulize upande Wa pili? You must be joking! Kama stori haiko sawa jibu, kama unaona umeonewa nenda mahakamani! Hii sheria ya hovyo kabisa, TCRA na Waziri Wa habari wamepewa rungu na sheria kuua Uhuru Wa habari, Jiwe anapita na kuropoka hovyo hatujasikia hatua zozote toka kwa wanafiki wakubwa hawa!