Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
 
Sidhani kama ni sahihi ulichokiandika.Mwandiko wako upo very much okay but not alright.Maisha ni hekaheka tu.Ziwe hekaheka binafsi au za kundi ni sawa.Kutaka kuishi kwa raharaha,kujidekeza,kujisononesha,kutia huruma na kukataa kuona mbali ni ulemavu hatari sana wa kujitakia.The man is at the right path!
 
Lissu alishasema hataki vikao vya gizani wao kama wanaona ana hatia basi waandae tu kamba ya kumnyongea.
 
Nyie ndo wapumbavu mnaorudisha nyuma maendeleo ya hili Taifa.

Nani kakwambia mabadiliko ya kweli yenye faida kwa wananchi yanapatikana kwa wapigania haki kujisalimisha?

Nenda kachukue posho zako Lumumba tuondolee upuuzi hapa
 
muhimu zaidi ni ajiepushe na uropokaji unaokiuka sheria na kutegemea public sympathy ambazo hazijawahi kumsaidia kisiasa ispokua kiuchumi
 
Hivyo ipo kampeni ya kuwapa mserereko wale wa upande wa dhulma.
 
Wanaomtesa wananufaika nini na wanapata faida gani?

Wamuue

Wafute vyama vingi

Maisha mengine yaendelee

Wafurahie
 
Nyie ndo wapumbavu mnaorudisha nyuma maendeleo ya hili Taifa.

Nani kakwambia mabadiliko ya kweli yenye faida kwa wananchi yanapatikana kwa wapigania haki kujisalimisha?

Nenda kachukue posho zako Lumumba tuondolee upuuzi hapa
Ni rahisi sana kubwabwaja ukiwa nyuma ya keyboard, ingia front ujue muziki wake.
 
Alipoanzisha harakati zake za kisiasa ulimshauri hadi uje na masikhara ktk kipindi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…