Yoda, unaonaje kama ushauri huu ungeutoa kwa hao unaotaka Mh. Tundu Antiphas Lissu ajisalimishe kwao?
Nakuhakikishia kuwa hakuna anayeteseka kama huyo aliyeagiza Mh. Tundu Antiphas Lissu aendelee kukaa gerezani.
Ni huyo huyo alikuwa msaidizi mkuu wa aliyeagiza Mh. Tundu Antiphas Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini.
Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyetakiwa kufa hadi leo yupo hai lakini mkuu aliyetoa agizo auawe anaozea kaburini Chato.
Yoda, ningekuwa wewe, hoja yangu ingekaa hivi...
Aliyeagiza Mh.Tundu Lissu awekwe gerezani ashauriwe kufuta agizo lake mara moja, anateseka bure tu!