Acha ateseke hata Yesu aliteseka kwa ajili yetuWatu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.