Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

Watu hawapambaniwi siku moja, elewa.Industrial revolution ya Ulaya,Mapinduzi ya China/Russia na hata vita vya America kwa mfano tu,jitihada hazikuzaa matunda kwa siku moja.Sehemu nyingine ilikuwa miongo,karne hadi karne.
Na mbaya zaidi, huyu anatowa ushauri wa kilofa kabisa wakati 'critical' kabisa kwa Tanzania!
Ameambiwa kuwa Tundu Lissu kuwa gerezani ndio mwisho wa mapambano?
Haoni watu wanaendelea kupambana huku nje kila siku; wakiunga juhudi zilezile anazopambania Tundu Lissu?

Sasa yeye anataka Tundu Lissu ajisalimishe, na asalimishe juhudi zote hizi zinazoendelea sasa!

Kuwa gerezani ni sehemu ya mapambano. ANC hawakuacha mapambanona kumlilia Mandela ajisalimishe!
 
Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
 
Ipo siku utanielewa vizuri.
Leo umeamka vibaya sana mkuu 'Yoda'!

Hata hainiingii akilini kwamba umekutana kwa bahati mbaya na Bw. Abdul na kuuza akili yake kwake. Siamini kuwa hilo linawezekana.
Hakuna jambo hata moja, ninaloweza "kuelewe" katika mada hii uliyoiwasilisha hapa leo.
This is unusual; uncharacteristic of you. Whatever happened to you, that's your business!
 
Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Sasa wewe unatakaje!
Tundu Lissu "kujisalimisha" ndiko kutakakoleta hayo ya ANC hapa ghafla!

Unataka ajisalimishe, halafu iweje. Huelezi?
 
Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Kwa hiyo ni lazima mbinu za ANC(the old fashioned tactics)zitumike leo hii?
 
Akikubali kutoka gerezani kabla kesi hazijaisha, tutasema kalamba asali
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Ushauri wa kijinga kutoka kwa mjinga kwenda kwa mbeba maono!
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.

Kauli hizo ndiyo za wale vijana hovyo wapenda pombe na nyama za bure.

Pdidy kamwe hakuwahi kuwa na hiana nao.
 
Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Mkuu, hata mbuyu ulianza kama MCHICHA. Usipende kudharau mambo wakati hujadanya utafiti wa jambo lenyewe.
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Mandela kakaa gerezani miaka mingapi kolo wewe
 
Back
Top Bottom