Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

Hakuna mabadiliko nje ya CCM yatakayotekea kupitia raia mkuu kwa miaka ya hivi karibuni. Mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya CCM na dola tu.
Hakuna mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya ccm hilo ondoa akilini. Labda uniambie kwa njia ya dola. Ccm ni kikundi cha dola ila kimevalishwa koti la chama cha siasa ndio maana unadhani kina nguvu hiyo. Wataka mabadiliko ndani ya ccm ndio akina Gwajima ambaye kaongea juzi leo haonekani alipo! Mwingine ni huyo Mpina leo kaambiwa hafai ubunge na hakuna atakalofanya.
 
Huu ushauri ni kama ule ambao Ayubu alipewa na mke wake kwenye zimulizi za Biblia
 
Sijategemea kama unaweza kuandika uzi w anamna hii, nilikuheshimu kama mpambanaji na mpinga dhulma hapa JF

I am disapointed
Ukweli na uhalisia ni kwamba CCM imedhibiti kila sekta nchini kuanzia dola, sanaa, muziki hadi mpira na pia kundi kubwa la dini, sio rahisi kupambana nayo.
 
Nenda kamsaidie kunyea ndoo, yaani mwenzio anateseka we umeweka makalio yako hapo ulipo eti yuko tayari kwa lolote, kwanini ww usiwe tayari kufa? Km angekuwa tayari mbn mwaka 2020 alitorokea Ulaya kupitia ubalozi wa Ujerumani? Kadanganye wehu wenzio, Lissu sahv anajutia ht jana alikuwa anaongea akiwa amepanic, amekata tamaa. Akitoka this time hatarudia ujingaujinga
Aliyewaambia hiyo mbinu itamtisha kawadanganya. Mbona alipigwa risasi kwa maagizo ya dhalimu magu, na akarudi kugombea urais huku akimpaka vibaya dhalimu magu?
 
Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.
Ngoja tuone; nionavyo mimi tofauti; Yz mpya yaja. Kibibi kitang'oka .......
 
Ukweli na uhalisia ni kwamba CCM imedhibiti kila sekta nchini kuanzia dola, sanaa, muziki hadi mpira na pia kundi kubwa la dini, sio rahisi kupambana nayo.
Si kama Mwendazake, kundi la kuchukia mfumo huu linaongezeke, likifurika ndio penye utamu wenyewe
 
Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Kwani mabadiliko ya Tanzania hayaungwi mkono na UE na Marekani?

Au hujasikia matamko yao? Hujasikia hadi wakitujadili?

Kweli tuli ku overate sana humu. We ni kilaza wa hatari sana.
 
Attachments

  • 1749448169920.jpg
    1749448169920.jpg
    235.5 KB · Views: 19
Kazi ya Mashogo ni kujaribu kuionyesha dunia kua wanaume wote ni wazembe au wanaume na wanawake ni sawa.
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Nyie ndio baadhi ya watu ambao ni wengi mmekuja dunia kama wapita njia tu hakuna Mtakachoacha hapa duniani.

Watu wanaacha Hatima zao hata kama hazijakamilika lakini wanaacha alama.

Hata hivyo Yoda ushauri wako ni mzuri lakini tayari tunakujua upande wako tangu hapo mwanzo.
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Umemjua lisu toka 95 lakini bado unataka watu wakamshari; ina maana hujui kuwa lisu ni mtu mjuaji na asiyesharika? Mpaka mawakili wake wamebwaga manyanga na kumwachia likesi lake wewe unadhani mchezo?
Angekuwa ni mtu mwenye akili timamu angekusikia hata wewe tu bila watu wengine kuhitajika kwenda kumshauri.
 
Haters
Umemjua lisu toka 95 lakini bado unataka watu wakamshari; ina maana hujui kuwa lisu ni mtu mjuaji na asiyesharika? Mpaka mawakili wake wamebwaga manyanga na kumwachia likesi lake wewe unadhani mchezo?
Angekuwa ni mtu mwenye akili timamu angekusikia hata wewe tu bila watu wengine kuhitajika kwenda kumshauri.
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Katika moja ya kanuni za kivita, unaona umeelemewa na adui, surrender ili utunze maisha, ili baadae uendelee na mapambano
 
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.

Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
halafu iweje?
 
Kwani mabadiliko ya Tanzania hayaungwi mkono na UE na Marekani?

Au hujasikia matamko yao? Hujasikia hadi wakitujadili?

Kweli tuli ku overate sana humu. We ni kilaza wa hatari sana.
EU na Marekani sasa hivi hawana muda na Africa, wako wanamenyana na Russia, Iran na China, msiwategemee kabisa.
 
Back
Top Bottom