Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Sasa wewe shida yako nini?Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.

Amejiandaa kwa yote. Mungu aliyemuokoa na risasi za Magufuli ndiye atamnasua kwenye kitanzi cha Samia na kamwe hatamuangukia mtesi wake huyo kutoka Zanzibar.Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.
Fafanua ajisalimisheje?Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Mleta mada anakusema wewe, unamsaidia nini Lissu kwa kukaa gerezani zaidi ya kushabikia tonetone upate kula?Ni lini umeanza kumfahamu Lissu?
Maccm mnaanza kuweweseka sasaWatu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Taratibu tutawajua chawa wote.Maccm mnaanza kuweweseka sasa
Tuambie tundu Lissu anataka kumkomboa nani? Wewe umo kati ya hao wanaotaka kukombolewa?Fafanua ajisalimisheje?
Akubaliane na Ts & Cs za "mama" wa CCM Bi Chura Kiziwi?
Sikiliza ndugu Yoda
Ukombozi au wokovu ni kwa mtu mmoja kujitoa sadaka kwa ajili ya wengi
Yesu Kristo alipitia hali hiihii anayopitia Tundu Lissu
Unakumbuka majaribu yake ya mlimani?
Moja ya jaribu baya kabisa ambalo kama Yesu Kristo asingelishinda, ulimwengu mzima leo ungekuwa gizani chini ya utawala wa Ibilisi
Hili ndo lilikuwa jaribu - kombora hatari kabisa👇🏻
Luka 4:5-8 SUV
"....Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja. Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo. Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako. Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake......"
Cheki hiyo ☝🏻iliyokuzwa maandishi. Shetani mjinga sana eti eeh? Anamwambia Mungu muumbaji mwenye mali kuwa atampa kilicho mali yake
Ndivyo unavyotaka wewe kifanyike kwa Tundu Lissu dhidi ya Samia/CCM
Kwamba, Tundu Lissu ampigie magoti Samia, amsujudu huyu mwanadamu badala ya Mungu yehova
HAIWEZEKANI!!
anayemtesa na yeye atateseka siku yake ikifika! Jiwe yuko wapi?Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Watu hawapambaniwi siku moja, elewa.Industrial revolution ya Ulaya,Mapinduzi ya China/Russia na hata vita vya America kwa mfano tu,jitihada hazikuzaa matunda kwa siku moja.Sehemu nyingine ilikuwa miongo,karne hadi karne.Nakuunga mkono kuwapambania watanzania inahitaji moyo
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa; Wakati wa kupanda, na wakati wa kung'oa..-Muhubiri 3:1-8Fafanua ajisalimisheje?
Akubaliane na Ts & Cs za "mama" wa CCM Bi Chura Kiziwi?
Sikiliza ndugu Yoda
Ukombozi au wokovu ni kwa mtu mmoja kujitoa sadaka kwa ajili ya wengi
Yesu Kristo alipitia hali hiihii anayopitia Tundu Lissu
Unakumbuka majaribu yake ya mlimani?
Moja ya jaribu baya kabisa ambalo kama Yesu Kristo asingelishinda, ulimwengu mzima leo ungekuwa gizani chini ya utawala wa Ibilisi
Hili ndo lilikuwa jaribu - kombora hatari kabisa👇🏻
Luka 4:5-8 SUV
"....Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja. Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo. Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako. Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake......"
Cheki hiyo ☝🏻iliyokuzwa maandishi. Shetani mjinga sana eti eeh? Anamwambia Mungu muumbaji mwenye mali kuwa atampa kilicho mali yake
Ndivyo unavyotaka wewe kifanyike kwa Tundu Lissu dhidi ya Samia/CCM
Kwamba, Tundu Lissu ampigie magoti Samia, amsujudu huyu mwanadamu badala ya Mungu yehova
HAIWEZEKANI!!
Ww na ukoo wako mkijisalimisha inatosha.Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
No reform no electricity 😁😁😁😁Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Nani ana time na Tundu Lissu? Chadema badala wampiganie wao wanamtelekeza hana hata mtu wa kumtetea anaanza kujitetea mwenyewe.Maccm mnaanza kuweweseka sasa
Fafanua ajisalimisheje?
Akubaliane na Ts & Cs za "mama" wa CCM Bi Chura Kiziwi?
Sikiliza ndugu Yoda
Ukombozi au wokovu ni kwa mtu mmoja kujitoa sadaka kwa ajili ya wengi
Yesu Kristo alipitia hali hiihii anayopitia Tundu Lissu
Unakumbuka majaribu yake ya mlimani?
Moja ya jaribu baya kabisa ambalo kama Yesu Kristo asingelishinda, ulimwengu mzima leo ungekuwa gizani chini ya utawala wa Ibilisi
Hili ndo lilikuwa jaribu - kombora hatari kabisa👇🏻
Luka 4:5-8 SUV
"....Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja. Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo. Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako. Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake......"
Cheki hiyo ☝🏻iliyokuzwa maandishi. Shetani mjinga sana eti eeh? Anamwambia Mungu muumbaji mwenye mali kuwa atampa kilicho mali yake
Ndivyo unavyotaka wewe kifanyike kwa Tundu Lissu dhidi ya Samia/CCM
Kwamba, Tundu Lissu ampigie magoti Samia, amsujudu huyu mwanadamu badala ya Mungu yehova
HAIWEZEKANI!!
Mkuu, kama watu wangekua wanasikiliza ushauri wako kusingekua na mabadiliko ya aina yeyote duniani.Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
nawe na mimi tutatoweka milele vile vile.............njia ya Lisu ya kupotea milele ni hiyo. Wewe yako na mimi hatuijui...kila mmoja ana njia yake, ya Lisu ni hiyo@Hakuna uhakika kwamba jiwe anateseka huko unakofikiria aliko, mimi ninaamini jiwe ametoweka na kupotea milele.
Hii si ndio itakuwa furaha yako wewe na maccm wengine?Kwanini Sasa unajifanya kumjali.Hataki hiyo hurumaHawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.