Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

Bora yeye anatesekea gerezani kuliko wewe upo nje na bado unateseka
 
Yoda, unaonaje kama ushauri huu ungeutoa kwa hao unaotaka Mh. Tundu Antiphas Lissu ajisalimishe kwao?

Nakuhakikishia kuwa hakuna anayeteseka kama huyo aliyeagiza Mh. Tundu Antiphas Lissu aendelee kukaa gerezani.

Ni huyo huyo alikuwa msaidizi mkuu wa aliyeagiza Mh. Tundu Antiphas Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini.

Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyetakiwa kufa hadi leo yupo hai lakini mkuu aliyetoa agizo auawe anaozea kaburini Chato.

Yoda, ningekuwa wewe, hoja yangu ingekaa hivi...

Aliyeagiza Mh.Tundu Lissu awekwe gerezani ashauriwe kufuta agizo lake mara moja, anateseka bure tu!​

 
Ukweli na uhalisia ni kwamba CCM imedhibiti kila sekta nchini kuanzia dola, sanaa, muziki hadi mpira na pia kundi kubwa la dini, sio rahisi kupambana nayo.

Ukweli mchungu
 

CCM wamewahi kushaurika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…