Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Hahaha mbona akiwa kwenye mikutano yake ya watu miahamsini anatoa mkono
Hawa ni watu mia na hamsini?
usijitoe ufaham kamanda, Alafu unaonekana unaipenda CHADEMA kimoyo moyo ila maji ya kijani yamekufanya teja wa CCM.
tapatalk_1599325442150.jpg
 
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Ulitaka wamzingatie Lissu kanisani badala ya Mungu? Huwezi hata kujua muktadha aliopo ni kwa ajili ya kuabudu? Ulitaka uone anapigiwa makofi akijongea Kwenye karamu ya Bwana?
 
Huo ni mtazamo wako mkuu, hulazimishwi kuelewa ila 28 oct kipigo cha mbwa koko kinakujieni.
Mtaunganisha picha za Lowasa hadi mtie akili
Mnachukua watu wa mastar wa mbele anapohutubia lissu mnaedit kuunganisha na picha za Lowasa 2015

Ukweli kila mkutano wa lissu hauzidi watu miambili
 
Yule ni kiongozi wa Nchi usimfananishe na matapeli wa siasa wa Chadema
Wewe bwege sikiliza nikuambie kitu, pale Ni kanisani Tena madhabahuni hakuna VIP Wala huyo Rais ambaye atapewa priority katika kupokea sacrament takatifu.

Akishatoka hapo nje ya lango kuu ndipo itifaki nyingine itazingatiwa.

Ila kwa kawaida madikteta wengi wanajishtukia hata mahala pasipo na ulazima wa kuwa na 'lundo' la ma bodyguard yeye anakuwa nao.
 
Sikuwahi kufikiria kama Lissu ni Mkristo Mkatoliki, nimemuona akianza kwenda Kanisani kipindi hiki cha Kampenj za Uchaguzi
Uliwahi kuona Magufuli anakwenda Msikiti I kabla kipindi hiki cha kampeni? Haendi tu Msikitini kuswali bali anajenga hata misikiti karibuni ataslimu na kuwa Imam. Uchaguzi mwaka huu mgumu!
 
Uliwahi kuona Magufuli anakwenda Msikiti I kabla kipindi hiki cha kampeni? Haendi tu Msikitini kuswali bali anajenga hata misikiti karibuni ataslimu na kuwa Imam. Uchaguzi mwaka huu mgumu!
Serikali haina dini, ukizingatia kuwa yeye kiongozi mkuu wa serikali ya Tanzania!
 
Wewe ndie uliempiga picha? Kula sakrament inatuhusu nini sisi, au umesikia oktoba tunachagua askofu au paroko?
Leo kajidhirisha kumbe mpambe wa Lissu nilidhani mwanachama asiye na maslahi binafsi kumbe kuhangaika mitandaoni kila saa anahangaikia tumbo lake! Leo kajulikana. Hongera mpambe na bado Kuna siku nakutaja na jina na unalipwaje Erythrocyte. Kazoea kusema wenzake lumumba buku 7 kumbe yeye mramba viatu vya Lissu. Nimemwona wakati anapiga picha leo umeingia chaka na nitakuanika jina kamili hapa jf. Bado mmawia.
 
Back
Top Bottom