Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
sasa kinachokuliza nini ?Wewe ndie uliempiga picha? Kula sakrament inatuhusu nini sisi, au umesikia oktoba tunachagua askofu au paroko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kinachokuliza nini ?Wewe ndie uliempiga picha? Kula sakrament inatuhusu nini sisi, au umesikia oktoba tunachagua askofu au paroko?
Hawa ni watu mia na hamsini?Hahaha mbona akiwa kwenye mikutano yake ya watu miahamsini anatoa mkono
Anakwenda kumshukuru Mungu na kuiombea nchi yetu amani!Kwani ndugu yenu huwa anaenda kanisani kuongeza madoido kumbe.mna hasara sana
Ulitaka wamzingatie Lissu kanisani badala ya Mungu? Huwezi hata kujua muktadha aliopo ni kwa ajili ya kuabudu? Ulitaka uone anapigiwa makofi akijongea Kwenye karamu ya Bwana?Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Anaomba amani huku mibodigadi yake imemzunguka katika madhabahu..Anakwenda kumshukuru Mungu na kuiombea nchi yetu amani!
Bro anayeombwa amani ni Mungu sio mchungaji!Anaomba amani huku mibodigadi yake imemzunguka katika madhabahu..
.vibindoni wameficha Barrett
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Hujaeleweka we kiazi unamaana gani kusema waumini hawana habari naeWaumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Atakuwa chakula cha polepole huyoHivi nyie hamjajua huyu jamaa yupo kazini hapa jf ili baadae akalipwe? Mkitaka kujua fuatilieni anajibu kila uzi unaongelea Chadema! Kwa hiyo msilalamike jamaa yupo kazini
Mku Ekarist inahemika zaidi ya Mtu.Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Mtaunganisha picha za Lowasa hadi mtie akili
Mnachukua watu wa mastar wa mbele anapohutubia lissu mnaedit kuunganisha na picha za Lowasa 2015
Ukweli kila mkutano wa lissu hauzidi watu miambili
Wewe bwege sikiliza nikuambie kitu, pale Ni kanisani Tena madhabahuni hakuna VIP Wala huyo Rais ambaye atapewa priority katika kupokea sacrament takatifu.Yule ni kiongozi wa Nchi usimfananishe na matapeli wa siasa wa Chadema
Kumbe wewe ni dereva wa Lissu! Leo tumekujua mfunga viatu wa Lissu.Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
View attachment 1568561
Uliwahi kuona Magufuli anakwenda Msikiti I kabla kipindi hiki cha kampeni? Haendi tu Msikitini kuswali bali anajenga hata misikiti karibuni ataslimu na kuwa Imam. Uchaguzi mwaka huu mgumu!Sikuwahi kufikiria kama Lissu ni Mkristo Mkatoliki, nimemuona akianza kwenda Kanisani kipindi hiki cha Kampenj za Uchaguzi
Serikali haina dini, ukizingatia kuwa yeye kiongozi mkuu wa serikali ya Tanzania!Uliwahi kuona Magufuli anakwenda Msikiti I kabla kipindi hiki cha kampeni? Haendi tu Msikitini kuswali bali anajenga hata misikiti karibuni ataslimu na kuwa Imam. Uchaguzi mwaka huu mgumu!
Alisema Magufuli anataka kumuua kwa sababu yeye ni msalitiKwani nani msaliti wa nchi yake???
Aliyesambaza hiyo picha, CHADEMA itakula naye saani moja!Mku Ekarist inahemika zaidi ya Mtu.
Leo kajidhirisha kumbe mpambe wa Lissu nilidhani mwanachama asiye na maslahi binafsi kumbe kuhangaika mitandaoni kila saa anahangaikia tumbo lake! Leo kajulikana. Hongera mpambe na bado Kuna siku nakutaja na jina na unalipwaje Erythrocyte. Kazoea kusema wenzake lumumba buku 7 kumbe yeye mramba viatu vya Lissu. Nimemwona wakati anapiga picha leo umeingia chaka na nitakuanika jina kamili hapa jf. Bado mmawia.Wewe ndie uliempiga picha? Kula sakrament inatuhusu nini sisi, au umesikia oktoba tunachagua askofu au paroko?