kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
ukahutubieNikafanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukahutubieNikafanyaje
Amen Man Of GodMungu amemponya kwa zaidi ya risasi 36! Yampasa amshukuru sana!
Avatar yako tu inaonyesha waga wanaku mpka unatokwa nya.Sikupitishwa na Tume!
Jiwe ameita dikteta Musevweni Chato ili uwanja wa ndege utumike hehehehAlidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Hapo ni kanisani sio jukwaa la siasaWaumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
AMINANikiangalia huo mguu wa Lissu na jinsi anavyotembea na kusimama huwa naumia sana!! Aliyefanya hivi kwa Lissu apate pigo kuu mwaka huu kwa Jina la Yesu!
Ukimwona Lissu anaendelea kuishi na kumshukuru Mungu kwa kumuepusha na risasi 16. Unamchukia Mungu. Pole sana. Lissu ni mwanadamu ipo siku atakufa ili umasikini wa mawazo ulio nao ukuishe.Alidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
Magufuli ndiye anayepaswa kumuomba msamaha TL kwa kufumbia macho na kushindwa kuwapata waliotaka kumuua kwa risasiMagufuli na Lissu wapatane sisi Wakatoliki siyo tabia yetu kugombana na kutukanana majukwaani. Watubu na waweke taifa liwe moja.
Toba ni sehemu ya ibada! Au alichelewa kipengele hicho? Kila mtu ni mkosaji na anahitaji toba. Japokuwa watu wengine walioruhusu watu kutekwa na kuuwawa bila huruma na kupigwa risasi wanahitaji kuongozwa toba ya juu zaidi.Lisu hajaenda kuabudu vinginevyo angeanza na toba!
Wee mzee kila post nakuona upo tu.Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Kanisani sio sehemu ya mauzo au kampeni,Kanisani Kila mtu anaenda kunuomba na kumshukuru MunguWaumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Tundu Lissu hajaanza kwenda Kanisani Leo na Hana mpango wa kufanya maigizo kanisaniNdio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui
Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Kwa Hiyo mlimpiga risasi nyie?"NI YEYE"
Kanisani ni sehemu ya kutubu na kutafakari maisha yako sasa wewe mataga uliyejazwa upepo kichwani kalaghabaoWaumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Ndio maana mapicha picha kama yoteKumbe mtu wenu uenda kanisani ili watu wahangaike naye na siyo kwenda kumuabudu MUNGU aliye hai??
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahahahah Ila we jamaa una wazimu sanaAlidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
Nilisikitika sana kuona wakuu fulani wa dini wakimwombea mtu mzima badala ya huyu mlengwa. Yaan hawakuweza hata kulaani tu kitendo alichofanyiwa.Malipo ni hapa hapa