Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Sikupitishwa na Tume!
Avatar yako tu inaonyesha waga wanaku mpka unatokwa nya.
IMG_20200913_155248_585.jpeg
 
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji

Nikweli anatia huruma, fikiria mtu alikua mzima leo hii kawekewa michuma na kuwa na viatu maalum. Uzuri akili haikuathirika.
 
Tupo pamoja na Mungu wa mbinguni
Bwana yule anaemkufuru Mungu sijui kama yupo salama huko kwao
 
Alidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
Ukimwona Lissu anaendelea kuishi na kumshukuru Mungu kwa kumuepusha na risasi 16. Unamchukia Mungu. Pole sana. Lissu ni mwanadamu ipo siku atakufa ili umasikini wa mawazo ulio nao ukuishe.
 
Magufuli na Lissu wapatane sisi Wakatoliki siyo tabia yetu kugombana na kutukanana majukwaani. Watubu na waweke taifa liwe moja.
Magufuli ndiye anayepaswa kumuomba msamaha TL kwa kufumbia macho na kushindwa kuwapata waliotaka kumuua kwa risasi

Lissu bila shaka atamsamehe na mengine yataendelea Kama kawaida!
 
Lisu hajaenda kuabudu vinginevyo angeanza na toba!
Toba ni sehemu ya ibada! Au alichelewa kipengele hicho? Kila mtu ni mkosaji na anahitaji toba. Japokuwa watu wengine walioruhusu watu kutekwa na kuuwawa bila huruma na kupigwa risasi wanahitaji kuongozwa toba ya juu zaidi.
 
Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui

Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Tundu Lissu hajaanza kwenda Kanisani Leo na Hana mpango wa kufanya maigizo kanisani
 
Back
Top Bottom