Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Hiyo haitamsaidia!

Kama hao kina Mzinga wanamkubali sana Magu kwa jinsi alivyoihandle corona bila kufunga makanisa.
Umewahi kuingia moyoni kwa Mchungaji Mzinga ukajua kwamba anamkubali jiwe? hujui kitu sisi tulioko kwenye hizo taasisi ndio tunajua watu wanaigiza tu kwa maslahi yao kama unamkubali jiwe kikwel niww
 
Umewahi kuingia moyoni kwa Mchungaji Mzinga ukajua kwamba anamkubali jiwe? hujui kitu sisi tulioko kwenye hizo taasisi ndio tunajua watu wanaigiza tu kwa maslahi yao kama unamkubali jiwe kikwel niww
Huna unalojua mkuu bora ukae kimya tu.
 
My Goodness namuona my former pastor Charles Mzinga na Chidiel Lwiza hapo,
 
Huo ni uwongo mnalishwa na lissu

Huyo lissu ndio alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu ili kuwatetea bungeni waibe madini yetu

No...musimuuzoe kesi..lissu alikuwa anaoopoose ssytemic wizi.wa madini agaist organised wizi wa madini....thats all i know for now
 
Mchungaji Kwa unyenyekevu mkubwa anakubaliana na Raisi Lissu
 
Ningekuwa ningejidamkia pale saa 12 asbh...lah!!
 
Magufuli ni mkatoliki 2015 alikimbia mbio kwenda kwa Malasusa askofu was Dayosisi ya Pwani amuombee wakati yeye ni mkatoliki .Askofu Malasusa ndie askofu pekee kutoka Lutheran aliyemuombea Magufuli na kumpa baraka Lowasa hakuiomba japo ni mlutheri

Malasusa Askofu ndie pekee alihudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli kuwa Raisi baada ya Askofu mkuu wa KKKT Shoo kugoma kuhudhuria uwanja wa Taifa siku ya kuapishwa Magufuli
 

Hata kwa COVID-19 kulikuwa na statements nyingi but hazizikusaidia kitu. Mtaumiza sana nafsi zenu but NOTHING will change msimao wa Tz. Wa Tz wahawajawahi kushadidia USHOGA wala Mabebeeu, na inapokuja issue ya USALITI wa Tz hawajawahi kugawanyika. Endeleani kusubiri Meli Airport..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…