Tundu Lissu asusia mkutano Dar

Tundu Lissu asusia mkutano Dar

Kwa mtindo huu wa kukodi vijana ili kuvuruga hoja muhimu kwa Taifa sitashangaa makundi kama Mungiki yakiibuka Tanzania hivi karibuni.
 
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.

Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Mkuu Fide180 umefanya vizuri kumjibu Majimshindo upuuzi wake, nadhani huyu jamaa ndiye hasa aliye andaa kuleta watoto kwenye ukumbi wa kujadili katiba ambayo ni msitakabali wa maisha yetu!!!!!!!Kama siye basi ana hisa kwenye hili jambo!!!!! Hivi SISIEMU wana akili timamu kweli???????? Kwa mtu mwenye akili tunapozungumza katiba ambayo ni nguzo ya utawala bora, wewe unaleta utani na watoto wenye wwasifikisha umri wa kupiga kura, ni mzima au umerogwa????????
Hapo utaona hawa jamaa hawako serious kushughulikia katiba mpya!!!!!!!!
Katiba ni nguzo ya kudumu miaka na dahari si ya SISIEMU maana chama ufa kama KANU, AU KUONDOKA MADARAKANI!!!!! Tunazumgumzia katiba bora ya kuleta utawara ulio bora si wakifisadi. Ikiwa hawa watu hawako tayari kutoa mwanya wa katiba mpya, walatusiogope vitisho eti hoo tutawashughulikia!!!!!!!! Nibora watu waingie mitaani kwa maandamano ya nguvu kudai katiba mpya. Endapo wataleta vurugu za kuua watu kwa vyombo vya dola na vikundi vya ukandamizaji, basi tuandae ushahidi kwa kila tukio kama Arusha na mashahidi, ili watu wapelekwe The Haghue ICC wakutane na Moreno Ocampo. Huo ndio utakuwa mwisho wa ubabe wao. Tunahitaji katiba itakayo jali masrahi ya kila mwananchi, sio kulinda mafisadi!!! Mafisadi wamemzunguka Raisi wanaendelea kuiba eti Raisi na wao wasisemwe, (mwizi arudishe alichoiba asamehewe uliona wapi hiyo???????) katiba gani hiyo???????? Watu hawa ni wahuni, wabunge nendeni bungeni muungane na wabunge wa Zanzibar nasikia hao wameisha kataa huu mswada, kataeni huu mswada. Ikiwa WATALAZIMISHA NA KUNGANGANIA KAMA SASA rudini mikoani tuungane sote kupinga na kudai iundwe katiba huru wala serikali isingile kamwe. Tupate taifa huru lisilo na ufisadi, kila siku eti Tanzania ina amani kumbe wao wanazidi kuiba na kufilisi nchi yetu, sisi tunazidi kuwa mafukara.
Aluta Continua ,tukomboe taifa letu toka mikononi mwa mafisadi!!!!!!!!!
 
Think ure ready bt you really not sir. May be the time has come for the majority to speak, Chadema ni chama siasa sawa na Ccm, Cuf nk hakuna anayemzidi mwingine kwa utanzania. Chadema walijue hilo na kwamba kama wataamua kufanya vurugu kumbe kuna wengine wanaweza pia halafu wakiwa na nguvu zaidi. Katiba tunayoitaka ni ya watanzania wote. Juzi Hiza kazomewa mpaka mkutano ukaahirishwa, wiki iliyopita kadhalika kwa muwakilishi wa Ccm na Udp, najua maoni yako ni kutaka Chadema waendelee kuwa watanzania zaidi ya wengine hata wasiokuwa na vyama. Tulimsifu sana Sumaye kwa kuwaambia Ccm wajibu mapigo ya Chadema kwa hoja, wafanye siasa wasimwachie kazi m/kiti wao.
Few days later Chadema wanaacha hoja na kukodi wahuni wa chuo kikuu kuzomea na kuwatukana watu wasiowataka.
I dont like this but sir it is too logical kwamba hata kama isingekuwa leo nao wangeamua kufanya "siasa" kama za opponents wao hasa kwa kujua kuwa wao wana majority. Tundu Lissu hakulalamika wiki iliyopita wala juzi kuona watu wanazomea mbona jana kalalamika? They should know better that what goes around comes back around. Mtoa thread anasema watoto walienda kulala ukumbini kwa taarifa ya Itv lakini Mlimani Tv wameonesha vijana wamelala nje chini ya miti wakidai kukuta ukumbi umejaa!
Tanzania is much better than this, i said Tanzania...
Kwa hiyo wewe Bepari unaitakia nchi yako mema????? Unaona nivizuri jinsi nchi yako inavyo endeshwa au kutawaliwa na wezi???????
Hutaki watu wajue ukweli kuwa wanaibiwa kama CDM inavyofanya, cos SISIEMU hawawezi kukemea wezi maana hiyo ni sera yao kutuibia!!!!! Wewe hutaki tuweke katiba itakayo ondoa huu uozo???????? Wewe ni msomi hivi katiba za Ghana au America achilia mbali Kenya jilani zetu zinatetea wezi??????? Raisi anaruhusiwa kusamehe mwizi?????? Hao kina Chenge, vijisenti, Rostam KAGODA, EL Richimond na DOWANS si ndio viongozi wa ngazi za juu SISIEMU. Utasema unania nzuri kweli ya kuondoa ufisadi unaolitafuna taifa letu??????? Kwa taarifa yako watu wako macho wanao uelewa wa kutosha, waambie hao waliokutuma hapa JF kuwatetea, kuwa tunajipanga ili kuondoa huo uozo utawala wa mafisadi, tena ukae mbali maana utakuwemo kwenye huo mkumbo!!!!!!!!
 
BEPARI,
Nakubaliana sana na wewe. Katiba ni ya Watanzania wote na vyama vyote ni sawa.
i) Kushangilia au kuzomewa ni mtu anazomewa au mawazo. Ni haki duniani kmute kupongeza au kuzomea mawazo mazuri. Lukini ni ujuha kuzomea mawazo mazuri kwa sababu tu ya
ushabiki. Ni vema tufike mahali objectively nini kiko objective na nini ni mawazo Objective as distionct from ushabiki. Katika Kongamano la Dar juzi na jana mtu yeyote mwenye busara angeweza kutambua kinachozomewa ni nini na kwanini kiuna kuzomeea.
ii) Nashukuru Bepari anakiri kuwa "wanajua fujo zaidi". Ieleweke Chadena kuhamasisha wanavyuo kwa lengo la kuchangia si dhambi wala kinyume na sheria. Lakini kitendo cha kukusanya vijana kwa lengo la kuvuruga ni jambo lisiloweza kuvumilika na kushushia hadhi Chama kikongwe kama chama cha Mapindfuzi. Nadhani kama Taifa bado hatujajua tunachotakiwa kufanya kupata mchakato mzuri wa Katiba. Tujue kuwa tukikosea kwenye Mchakato na Katiba tutakayotengeneza itakuwa ya ajabu

Dr slaa naona umeharalisha kuzomea sasa! Tunazipokea siasa za kuzomea na tutajenga taifa la wazomeaji! Mimi nilidhani Dr una uwe mkubwa wa kutofautisha kati ya mdahalo na Public Hearing! Mdahalo kidogo unaweza kuingia na suala la kuzomea lakini Public Hearing ni kupata maoni juu ya jambo fulani kwa wadau wote! Hivyo kwenye Public Hearing kila mtu anatoa mawazo yake ili kamati ichukue! Sasa unavyo sema watu wako walizomea kutoana na hoja zilizotoka upande mwingine haina maana yoyote kwani kamati ndio inachuja kipi bora na kipi sio bora baada ya kupata mawazo ya wa wadau wote! Kitendo cha CCM kupeleka watoto wadogo tena wahuni wa mtaani ni majibu ya uozo wa kuzomea mliofanya wewe na vijana wako wa chuo Kikuu! Tuendelee kuzomeana kwa nguvu zaidi ili tupate Taifa Bora kwa Uzomeaji!
 
WanaJF
Hakuna kulala.Waandae tu usalama wa Taifa.Kama tulivyowahi kusema, usalama wa Taifa wamegeuka kuwa usalama wa ccm. Hata hivyo hakuna kulala Maandamano ya nchi nzima yatakapofanyika kitaeleweka. Tumeiambia Serikali kinachotakiwa ni busara, lakini busara itakaposhindikana wasidhani wanaweza kupambana na"nguvu ya Umma". Ukombozi ndio unaanza na ninaona wanazidi kutaidia kufikia iukamilifu wa ukombozi huo.Wenye mapenzi mema na nchi yetu tuendelee kushikamana, Katiba si mali ya CCM, si mali ya Rais. Ni mali ya Rais. Kama nilivyosema kwenye Kongamano "Mtoto hawezi kumzaa Mama yake". Naona wengi hawajaelewa.
Katiba ni mali ya wananchi Watanzania!!!!!!Aluta Continua, katiba mpya ndilo jibu pekee!!!!!!!!!
 
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.

Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?

Mmoja aliojiwa jan ITV saa mbili Usiku, Akasema wameletwa na Katibu na wantoka Manzese na walikuja saa kumi na MOJA,
Sasa ndugu yangu ni shule gani hiyo yenye KATIBU? au huku anaglia Taharifa ya Habari saa mbili jana?
 
Dr slaa naona umeharalisha kuzomea sasa! Tunazipokea siasa za kuzomea na tutajenga taifa la wazomeaji! Mimi nilidhani Dr una uwe mkubwa wa kutofautisha kati ya mdahalo na Public Hearing! Mdahalo kidogo unaweza kuingia na suala la kuzomea lakini Public Hearing ni kupata maoni juu ya jambo fulani kwa wadau wote! Hivyo kwenye Public Hearing kila mtu anatoa mawazo yake ili kamati ichukue! Sasa unavyo sema watu wako walizomea kutoana na hoja zilizotoka upande mwingine haina maana yoyote kwani kamati ndio inachuja kipi bora na kipi sio bora baada ya kupata mawazo ya wa wadau wote! Kitendo cha CCM kupeleka watoto wadogo tena wahuni wa mtaani ni majibu ya uozo wa kuzomea mliofanya wewe na vijana wako wa chuo Kikuu! Tuendelee kuzomeana kwa nguvu zaidi ili tupate Taifa Bora kwa Uzomeaji!
Wewe umetumwa waambie sikumkuta, majibu utapata mbele ya safari!!!!!!!
 
Mfumo Kristo very problem! Maana hauangalii wananchi wanataka nini wao ni kupoteza makusudio!
 
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.

Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Hao watoto hapo juu hawakuja kuchangia acheni ujinga mna insult intelligences zetu.Msicheze michezo ya hatari kwa Taifa.
 
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.

Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?

Mmoja aliojiwa jan ITV saa mbili Usiku, Akasema wameletwa na Katibu na wantoka Manzese na walikuja saa kumi na MOJA,
Sasa ndugu yangu ni shule gani hiyo yenye KATIBU? au huku anaglia Taharifa ya Habari saa mbili jana?
 
Mbona wa CCM na UDP walizomewa Chuo Kikuu, hakuna aliyesusa? Hawa Chadema wamezowewa kidogo tu wanajidai kususa. Wazomee wao tu, wakizomewa wanasusa. wakishindwa kura wanasusa, wakoje hawa?
Yaani kama watoto vile!! wakikua wataacha tu
 
Kwa mtindo huu wa kukodi vijana ili kuvuruga hoja muhimu kwa Taifa sitashangaa makundi kama Mungiki yakiibuka Tanzania hivi karibuni.

Cha muhimu kuanzia sasa tutembee na camera za kuchukua ushahidi kwani timbwilitimbwili mtaani limeshakaribia na hakuna wa kulizuia,..Hawa jamaa zetu CCM wamechoka mbaya na ushahidi ulio bayana angalieni tu jinsi walivyocheza rafu kwenye uchaguzi 2010
 
WanaJF
Hakuna kulala.Waandae tu usalama wa Taifa.Kama tulivyowahi kusema, usalama wa Taifa wamegeuka kuwa usalama wa ccm. Hata hivyo hakuna kulala Maandamano ya nchi nzima yatakapofanyika kitaeleweka. Tumeiambia Serikali kinachotakiwa ni busara, lakini busara itakaposhindikana wasidhani wanaweza kupambana na"nguvu ya Umma". Ukombozi ndio unaanza na ninaona wanazidi kutaidia kufikia iukamilifu wa ukombozi huo.Wenye mapenzi mema na nchi yetu tuendelee kushikamana, Katiba si mali ya CCM, si mali ya Rais. Ni mali ya Rais. Kama nilivyosema kwenye Kongamano "Mtoto hawezi kumzaa Mama yake". Naona wengi hawajaelewa.

Hiyo nguvu ya umma unayo wewe, Mbowe, na Lisu peke yenu? Lazima mjue nguvu ya umma si ya kwako peke yako, wewe unayo yako na wengine wanayo yao, pindi utakapo amua kutumia ya kwako lazima ujue na wenzako pia watatumia ya kwao. Sidhani kama kuna mtu huwa anawaambia ila hivyo vitisho vyenu sasa vimekwisha tufika kooni na tunachotaka kuona ni ninyi mkiitumia hiyo nguvu yenu ili na sisi tusimame. Hii sio nchi yako peke na wafuasi wako bali ni yetu sote na kuna waliotayari kuipigania hata tone la mwisho la damu, nakuambia haya kwa moyo mkunjufu ujue kuwa sasa nchi imefika mahala ambapo mnapataka, kama mnasubiri taarifa zilizofanyiwa ''utafiti'' wa kina mtachelewa kwani mapigano baina yenu na sisi yamekwisha anza na katika hili hakuna anayemuogopa mwenzake( mwisho wa siku tutakufa anyway). Kwa kuwa upo hapa nenda kawaambie wenzako wa quit kutishia walete hiyo nguvu ya umma tunaisubiri kwa hamu. Hakuna amani hapa na hali itaendelea kuwa hivyo na hatuna cha kufanya tena zaidi ya kupambana. Najua wapo wanaoamini kuwa nchi hii bado inaweza kuwa amani lakini amani huku wengine wanatukanwa na kudharauliwa haipo, sasa waambie hao umma wako watoke wasimame kwani sisi pia tumesimama tayari kuwakabili. MAPIGANO YAMEANZA TUMESIMAMA IMARA.
 
Fikira fupi na finyu hujipambanua zenyewe,kama wewe unafikira pana ni wazi ungeweza hata kutofautisha mazingira ya masomo kw vitendo,vile vile tofauti kati ya ukumbi wa Bunge wkt wa Bunge na wakati wa kukusanya maoni ya kinachoitwa muswada wa katiba mpya.Wakati wtz wanajadili mambo ya mustakabali wa Taifa si vyema kujitia upofu wa makusudi.Tumesikia watoto hata walipoulizwa wamechangia nini hawaeleweki.Hii ni aibu kubwa kwa Taifa hata kw wazazi wa watoto husika.Kama kunajambo ambalo makinda anatakiwa alikemee ni hili.Pengine waandaaji wa mkakati walisahau jambo moja ambalo lingewasaidia kujenga hoja nalo ni kuwaandikia mambo kwenye karatasi ambapo wangeomba kutoa maoni wakawa wana desa.Kila mtz mkereketwa wa mabadiliko atalaani uhuni huu wa kisiasa.
 
Hiyo nguvu ya umma unayo wewe, Mbowe, na Lisu peke yenu? Lazima mjue nguvu ya umma si ya kwako peke yako, wewe unayo yako na wengine wanayo yao, pindi utakapo amua kutumia ya kwako lazima ujue na wenzako pia watatumia ya kwao. Sidhani kama kuna mtu huwa anawaambia ila hivyo vitisho vyenu sasa vimekwisha tufika kooni na tunachotaka kuona ni ninyi mkiitumia hiyo nguvu yenu ili na sisi tusimame. Hii sio nchi yako peke na wafuasi wako bali ni yetu sote na kuna waliotayari kuipigania hata tone la mwisho la damu, nakuambia haya kwa moyo mkunjufu ujue kuwa sasa nchi imefika mahala ambapo mnapataka, kama mnasubiri taarifa zilizofanyiwa ''utafiti'' wa kina mtachelewa kwani mapigano baina yenu na sisi yamekwisha anza na katika hili hakuna anayemuogopa mwenzake( mwisho wa siku tutakufa anyway). Kwa kuwa upo hapa nenda kawaambie wenzako wa quit kutishia walete hiyo nguvu ya umma tunaisubiri kwa hamu. Hakuna amani hapa na hali itaendelea kuwa hivyo na hatuna cha kufanya tena zaidi ya kupambana. Najua wapo wanaoamini kuwa nchi hii bado inaweza kuwa amani lakini amani huku wengine wanatukanwa na kudharauliwa haipo, sasa waambie hao umma wako watoke wasimame kwani sisi pia tumesimama tayari kuwakabili. MAPIGANO YAMEANZA TUMESIMAMA IMARA.
Mkuu maneno yako yangemake sense zaidi kama tungeweza kujua wewe ni nani,yani are you Makamba,JK,Tambwe Hiza or what?Dr Slaa ni kiongozi,lakini huwa anachagua kujibu hoja zetu sisi wananchi wa kawaida humu JF kwa hiyari yake.Hata hivyo hayo maneno hapo juu hayaonyeshi kama wewe ni mwananchi wa kawaida,i just wish i could know who you are ili wakati Dr Slaa anakujibu iweze kumake sense zaidi na sisi wasomaji tuelimike kuhusiana na mjadala wenu viongozi hapa JF.
Ni wazi na wewe unanguvu yako ya umma,basi tngeomba ujiweke wazi,naamini wewe ni CCM.
 
CCM wanaweweseka weweseka tu hawawezi kuishi kwa katiba yao wenyewe wataweza kuishi kwa katiba ya Watanzania ambayo inajulikana na Watanzania wenyewe?

Swala la katiba ni la Watanzania wote sio la CCM peke yao, vyovyote vile itakavyokuwa CCM wamejichimbia kaburi na tutawazika moja kwa moja.
 
BEPARI,
Nakubaliana sana na wewe. Katiba ni ya Watanzania wote na vyama vyote ni sawa.
i) Kushangilia au kuzomewa ni mtu anazomewa au mawazo. Ni haki duniani kmute kupongeza au kuzomea mawazo mazuri. Lukini ni ujuha kuzomea mawazo mazuri kwa sababu tu ya ushabiki. Ni vema tufike mahali objectively nini kiko objective na nini ni mawazo Objective as distionct from ushabiki. Katika Kongamano la Dar juzi na jana mtu yeyote mwenye busara angeweza kutambua kinachozomewa ni nini na kwanini kiuna kuzomeea.
ii) Nashukuru Bepari anakiri kuwa "wanajua fujo zaidi". Ieleweke Chadena kuhamasisha wanavyuo kwa lengo la kuchangia si dhambi wala kinyume na sheria. Lakini kitendo cha kukusanya vijana kwa lengo la kuvuruga ni jambo lisiloweza kuvumilika na kushushia hadhi Chama kikongwe kama chama cha Mapindfuzi.
Nadhani kama Taifa bado hatujajua tunachotakiwa kufanya kupata mchakato mzuri wa Katiba. Tujue kuwa tukikosea kwenye Mchakato na Katiba tutakayotengeneza itakuwa ya ajabu
Padre Dr.Willbroad Slaa,kwanza niseme nashukuru kwamba Kiongozi wa Ngazi ya juu sana katika Chama cha siasa unakuwepo katika kuchangia mada hapa katika forum za nanmna hii,hivyo kutuliza na kukidhi kiu ya wachangiaji wengi ambao huhitaji majibu na misimamo ya jikoni,nikimaanisha kutoka Chamani,ambako wewe ni mmojawapo ya wawakilishi wa moja kwa moja.
Father,ningependa nitangulize imani yangu kabla sijasema nitakacho sema
NINAAMINI KWAMBA SI MARA ZOTE KILE NINACHOKIAMINI NDIO KIWE CHA KWELI AU SAHIHI
NINAJUA KWAMBA MARA NYINGI BINADAMU TUNACHUKULIA KWAMBA MISIMAMO YETU NDIO ILIYO SAHIHI ZAIDI,NA ILE YA WENZETU SI SAHIHI KWA SABABU TUNAONA KWAMBA SISI NDIO SISI TU
NIAAMINI KWAMBA MARA NYINGI MAMBO KAMA VILE YA DINI,SIASA,NA MAPENZI YANAENDESHWA KI-USHABIKI ZAIDI(i.e 1.shabiki wa Simba hata siku moja hatokiri wazi ama kushawishika kwamba Yanga ni wazuri kuliko wao,hata kama itokee mathalani Yanga anaongoza na Simba anashikilia nafasi ya mwisho ,ama kinyume chake 2.M Protestant ni vigumu sana kumwelewa mkatoliki pale mkatoliki anapomwambia m protestant "Hapana,sisi hatuabudu sanamu,bali tunasujudu",kwa sababu tu Mprotestant hamwelewi vema Mkatoliki)
NINAAMINI KWAMBA WATU WENGI DUNIANI WANAONA WAZAZI WAO NDIO WA MAANA ZAIDI DUNIANI KWA SABABU TU NDIO WATU WA KARIBU ZAIDI NA WAO,NI WATU WANAOWATATULIA MATATIZO YAO,NA NDIO WATU WALIOWAFAHAMU KI UKARIBU ZAIDI TOKA UTOTO WAO....INGAWAJE WAZAZI HAWA KWA WATU WENGINE WATAONEKANA HAWAFAI KABISA(inawezekana ikawa kweli hawafai ama ni mtazamo tu wa hao watu wengine)

Father,kwa kusema hayo juu,si nia yangu ukubaliane nami nitakachokwambia,bali ni nia yangu kukushawishi wewe na wengine kwama tunahitaji kujua kwamba katika nchi hii hakutakuja tokea siku watu wote wakawa na mawazo yaleyale kwa sababu hawa watu wanatoka katika familia tofauti,kabila tofauti,dini tofauti,kanda tofauti,(vyote hivi vinachangia sana mtazamo wa mtu katika kuchanganua jambo lolote maishani)......NINAOMBA TUFIKIE MAHALI PA KUKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA,hili ni jambo muhimu ili kuleta HESHIMA......JAZBA haitasaidia hasa pale tutakapoona mbona watu wanaonyesha kutokukubaliana na KILE SISI TUNACHOAMINI NDICHO CHA KWELI.....
HIVYO BASI;
NI VEMA UKAWASISITIZIA HAWA WANANCHI WALIO NA MSIMAMO WA UPANDE WA CHADEMA(sijui nimepatia hapa?au niseme msimamo wa mageuzi ya Katiba yanayoridhiwa na Chadema?au na vyama vya Upinzani?au na wana mageuzi ya katiiba?-niko tayari kusahihishwa,yawezekana nimekosea)kuacha KUZOMEA....na yule aliyesema kushangilia haikatazwi,naomba tuelewe kwamba katika saikolojia,Binadamu wote tuna hulka ya kupenda kusifiwa....NDIO maana nadhani tunaweza kubadilisha ujumbe wetu kwa KUWASHANGILIA wale wanaoongea tunachotaka,na kuwasikiliza na kukaa kimya kwa wale wanaoongea kile tusichotaka kukisikia......hili linahitaji UVUMILIVU,kwani saikolojia pia inasema mtu anapoongea kile usichotaka kukisikia,utatamani UMZOMEE,lakini kwa sababu ya kanuni ya KUHESHIMIANA ili kila mtu asikike,basi NI VEMA KUKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA,i mean kukaa kimya mtu anapoongea kile tusichokipenda ili kutokuonyesha tumemdharau.

Father,mara nyingi kwenye siasa ni viongozi wanaoelewa ki undani zaidi real OBJECTIVES,na wananchi wengi huwa wanaendeshwa na USHABIKI zaidi.
TUPUNGUZE USHABIKI ILI SUALA HILI LA KATIBA LIFIKIE MUAFAKA WA MAJORITY.
TUJUE KWAMBA KILA UPANDE UNAWEZA KUSHINDA KILE INACHOTETEA(WANAMAGEUZI WANAWEZA KUSHINDA,WENYE MSIMAMO MWINGINE WANAWEZA SHINDA)
Nawakilisha.ninajua yawezekana mawazo yangu si sahihi,kwani ninaamini katika kukubaliana kutokukubaliana.
 
Back
Top Bottom