Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 317
Kwa mtindo huu wa kukodi vijana ili kuvuruga hoja muhimu kwa Taifa sitashangaa makundi kama Mungiki yakiibuka Tanzania hivi karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Fide180 umefanya vizuri kumjibu Majimshindo upuuzi wake, nadhani huyu jamaa ndiye hasa aliye andaa kuleta watoto kwenye ukumbi wa kujadili katiba ambayo ni msitakabali wa maisha yetu!!!!!!!Kama siye basi ana hisa kwenye hili jambo!!!!! Hivi SISIEMU wana akili timamu kweli???????? Kwa mtu mwenye akili tunapozungumza katiba ambayo ni nguzo ya utawala bora, wewe unaleta utani na watoto wenye wwasifikisha umri wa kupiga kura, ni mzima au umerogwa????????Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.
Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Kwa hiyo wewe Bepari unaitakia nchi yako mema????? Unaona nivizuri jinsi nchi yako inavyo endeshwa au kutawaliwa na wezi???????Think ure ready bt you really not sir. May be the time has come for the majority to speak, Chadema ni chama siasa sawa na Ccm, Cuf nk hakuna anayemzidi mwingine kwa utanzania. Chadema walijue hilo na kwamba kama wataamua kufanya vurugu kumbe kuna wengine wanaweza pia halafu wakiwa na nguvu zaidi. Katiba tunayoitaka ni ya watanzania wote. Juzi Hiza kazomewa mpaka mkutano ukaahirishwa, wiki iliyopita kadhalika kwa muwakilishi wa Ccm na Udp, najua maoni yako ni kutaka Chadema waendelee kuwa watanzania zaidi ya wengine hata wasiokuwa na vyama. Tulimsifu sana Sumaye kwa kuwaambia Ccm wajibu mapigo ya Chadema kwa hoja, wafanye siasa wasimwachie kazi m/kiti wao.
Few days later Chadema wanaacha hoja na kukodi wahuni wa chuo kikuu kuzomea na kuwatukana watu wasiowataka.
I dont like this but sir it is too logical kwamba hata kama isingekuwa leo nao wangeamua kufanya "siasa" kama za opponents wao hasa kwa kujua kuwa wao wana majority. Tundu Lissu hakulalamika wiki iliyopita wala juzi kuona watu wanazomea mbona jana kalalamika? They should know better that what goes around comes back around. Mtoa thread anasema watoto walienda kulala ukumbini kwa taarifa ya Itv lakini Mlimani Tv wameonesha vijana wamelala nje chini ya miti wakidai kukuta ukumbi umejaa!
Tanzania is much better than this, i said Tanzania...
BEPARI,
Nakubaliana sana na wewe. Katiba ni ya Watanzania wote na vyama vyote ni sawa.
i) Kushangilia au kuzomewa ni mtu anazomewa au mawazo. Ni haki duniani kmute kupongeza au kuzomea mawazo mazuri. Lukini ni ujuha kuzomea mawazo mazuri kwa sababu tu ya
ushabiki. Ni vema tufike mahali objectively nini kiko objective na nini ni mawazo Objective as distionct from ushabiki. Katika Kongamano la Dar juzi na jana mtu yeyote mwenye busara angeweza kutambua kinachozomewa ni nini na kwanini kiuna kuzomeea.
ii) Nashukuru Bepari anakiri kuwa "wanajua fujo zaidi". Ieleweke Chadena kuhamasisha wanavyuo kwa lengo la kuchangia si dhambi wala kinyume na sheria. Lakini kitendo cha kukusanya vijana kwa lengo la kuvuruga ni jambo lisiloweza kuvumilika na kushushia hadhi Chama kikongwe kama chama cha Mapindfuzi. Nadhani kama Taifa bado hatujajua tunachotakiwa kufanya kupata mchakato mzuri wa Katiba. Tujue kuwa tukikosea kwenye Mchakato na Katiba tutakayotengeneza itakuwa ya ajabu
Katiba ni mali ya wananchi Watanzania!!!!!!Aluta Continua, katiba mpya ndilo jibu pekee!!!!!!!!!WanaJF
Hakuna kulala.Waandae tu usalama wa Taifa.Kama tulivyowahi kusema, usalama wa Taifa wamegeuka kuwa usalama wa ccm. Hata hivyo hakuna kulala Maandamano ya nchi nzima yatakapofanyika kitaeleweka. Tumeiambia Serikali kinachotakiwa ni busara, lakini busara itakaposhindikana wasidhani wanaweza kupambana na"nguvu ya Umma". Ukombozi ndio unaanza na ninaona wanazidi kutaidia kufikia iukamilifu wa ukombozi huo.Wenye mapenzi mema na nchi yetu tuendelee kushikamana, Katiba si mali ya CCM, si mali ya Rais. Ni mali ya Rais. Kama nilivyosema kwenye Kongamano "Mtoto hawezi kumzaa Mama yake". Naona wengi hawajaelewa.
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.
Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Wewe umetumwa waambie sikumkuta, majibu utapata mbele ya safari!!!!!!!Dr slaa naona umeharalisha kuzomea sasa! Tunazipokea siasa za kuzomea na tutajenga taifa la wazomeaji! Mimi nilidhani Dr una uwe mkubwa wa kutofautisha kati ya mdahalo na Public Hearing! Mdahalo kidogo unaweza kuingia na suala la kuzomea lakini Public Hearing ni kupata maoni juu ya jambo fulani kwa wadau wote! Hivyo kwenye Public Hearing kila mtu anatoa mawazo yake ili kamati ichukue! Sasa unavyo sema watu wako walizomea kutoana na hoja zilizotoka upande mwingine haina maana yoyote kwani kamati ndio inachuja kipi bora na kipi sio bora baada ya kupata mawazo ya wa wadau wote! Kitendo cha CCM kupeleka watoto wadogo tena wahuni wa mtaani ni majibu ya uozo wa kuzomea mliofanya wewe na vijana wako wa chuo Kikuu! Tuendelee kuzomeana kwa nguvu zaidi ili tupate Taifa Bora kwa Uzomeaji!
Hao watoto hapo juu hawakuja kuchangia acheni ujinga mna insult intelligences zetu.Msicheze michezo ya hatari kwa Taifa.Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.
Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Mfumo kristo maana yake nini ndugu yangu.Mfumo Kristo very problem! Maana hauangalii wananchi wanataka nini wao ni kupoteza makusudio!
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.
Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Yaani kama watoto vile!! wakikua wataacha tuMbona wa CCM na UDP walizomewa Chuo Kikuu, hakuna aliyesusa? Hawa Chadema wamezowewa kidogo tu wanajidai kususa. Wazomee wao tu, wakizomewa wanasusa. wakishindwa kura wanasusa, wakoje hawa?
Kwa mtindo huu wa kukodi vijana ili kuvuruga hoja muhimu kwa Taifa sitashangaa makundi kama Mungiki yakiibuka Tanzania hivi karibuni.
WanaJF
Hakuna kulala.Waandae tu usalama wa Taifa.Kama tulivyowahi kusema, usalama wa Taifa wamegeuka kuwa usalama wa ccm. Hata hivyo hakuna kulala Maandamano ya nchi nzima yatakapofanyika kitaeleweka. Tumeiambia Serikali kinachotakiwa ni busara, lakini busara itakaposhindikana wasidhani wanaweza kupambana na"nguvu ya Umma". Ukombozi ndio unaanza na ninaona wanazidi kutaidia kufikia iukamilifu wa ukombozi huo.Wenye mapenzi mema na nchi yetu tuendelee kushikamana, Katiba si mali ya CCM, si mali ya Rais. Ni mali ya Rais. Kama nilivyosema kwenye Kongamano "Mtoto hawezi kumzaa Mama yake". Naona wengi hawajaelewa.
Wewe umetumwa waambie sikumkuta, majibu utapata mbele ya safari!!!!!!!
Mkuu maneno yako yangemake sense zaidi kama tungeweza kujua wewe ni nani,yani are you Makamba,JK,Tambwe Hiza or what?Dr Slaa ni kiongozi,lakini huwa anachagua kujibu hoja zetu sisi wananchi wa kawaida humu JF kwa hiyari yake.Hata hivyo hayo maneno hapo juu hayaonyeshi kama wewe ni mwananchi wa kawaida,i just wish i could know who you are ili wakati Dr Slaa anakujibu iweze kumake sense zaidi na sisi wasomaji tuelimike kuhusiana na mjadala wenu viongozi hapa JF.Hiyo nguvu ya umma unayo wewe, Mbowe, na Lisu peke yenu? Lazima mjue nguvu ya umma si ya kwako peke yako, wewe unayo yako na wengine wanayo yao, pindi utakapo amua kutumia ya kwako lazima ujue na wenzako pia watatumia ya kwao. Sidhani kama kuna mtu huwa anawaambia ila hivyo vitisho vyenu sasa vimekwisha tufika kooni na tunachotaka kuona ni ninyi mkiitumia hiyo nguvu yenu ili na sisi tusimame. Hii sio nchi yako peke na wafuasi wako bali ni yetu sote na kuna waliotayari kuipigania hata tone la mwisho la damu, nakuambia haya kwa moyo mkunjufu ujue kuwa sasa nchi imefika mahala ambapo mnapataka, kama mnasubiri taarifa zilizofanyiwa ''utafiti'' wa kina mtachelewa kwani mapigano baina yenu na sisi yamekwisha anza na katika hili hakuna anayemuogopa mwenzake( mwisho wa siku tutakufa anyway). Kwa kuwa upo hapa nenda kawaambie wenzako wa quit kutishia walete hiyo nguvu ya umma tunaisubiri kwa hamu. Hakuna amani hapa na hali itaendelea kuwa hivyo na hatuna cha kufanya tena zaidi ya kupambana. Najua wapo wanaoamini kuwa nchi hii bado inaweza kuwa amani lakini amani huku wengine wanatukanwa na kudharauliwa haipo, sasa waambie hao umma wako watoke wasimame kwani sisi pia tumesimama tayari kuwakabili. MAPIGANO YAMEANZA TUMESIMAMA IMARA.
Padre Dr.Willbroad Slaa,kwanza niseme nashukuru kwamba Kiongozi wa Ngazi ya juu sana katika Chama cha siasa unakuwepo katika kuchangia mada hapa katika forum za nanmna hii,hivyo kutuliza na kukidhi kiu ya wachangiaji wengi ambao huhitaji majibu na misimamo ya jikoni,nikimaanisha kutoka Chamani,ambako wewe ni mmojawapo ya wawakilishi wa moja kwa moja.BEPARI,
Nakubaliana sana na wewe. Katiba ni ya Watanzania wote na vyama vyote ni sawa.
i) Kushangilia au kuzomewa ni mtu anazomewa au mawazo. Ni haki duniani kmute kupongeza au kuzomea mawazo mazuri. Lukini ni ujuha kuzomea mawazo mazuri kwa sababu tu ya ushabiki. Ni vema tufike mahali objectively nini kiko objective na nini ni mawazo Objective as distionct from ushabiki. Katika Kongamano la Dar juzi na jana mtu yeyote mwenye busara angeweza kutambua kinachozomewa ni nini na kwanini kiuna kuzomeea.
ii) Nashukuru Bepari anakiri kuwa "wanajua fujo zaidi". Ieleweke Chadena kuhamasisha wanavyuo kwa lengo la kuchangia si dhambi wala kinyume na sheria. Lakini kitendo cha kukusanya vijana kwa lengo la kuvuruga ni jambo lisiloweza kuvumilika na kushushia hadhi Chama kikongwe kama chama cha Mapindfuzi.
Nadhani kama Taifa bado hatujajua tunachotakiwa kufanya kupata mchakato mzuri wa Katiba. Tujue kuwa tukikosea kwenye Mchakato na Katiba tutakayotengeneza itakuwa ya ajabu