Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
Screenshot_20200809-162914_1.jpg
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
Naona unataka kuwafanya kina fulani waanze kuandaa madawa ya kuokoa jahazi
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
Aliyekutafsiria kilichoandikwa hapo kakudanganya, tafuta mwingine akusomee na kukutafsiria labda utaelewa
 
Lkn si imeandikwa na media za dunia nyingine hiyo? Kwani ni Channel ten hao?
 
Wazungu wana akili sana. Wakitaka kupata actual statistics huwa wanaangalia michango ya majukwaa ambayo watu wanatumia fake id’s kwa usalama wao kama humu na Twitter na pia kupitia watu mbaimbali.

Sasa Magu anadhani anapendwa kwa kusifiwa na wanafiki Ila huku ndo anatakiwa apime kama anapendwa au hapendwi
 
Dunia? Basi Mimi, mke wangu na watoto tutakuwa tunaishi Mars.
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
he rose from amongst the dead.
he's a living miracle!
 
Back
Top Bottom