- Thread starter
- #21
And he will miraculously win this general election. Inshallah!he rose from amongst the dead.
he's a living miracle!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And he will miraculously win this general election. Inshallah!he rose from amongst the dead.
he's a living miracle!
Kwahiyo wewe unapima kina cha maji kwenye mitandao? Usiseme hukuambiwa siku ikifika.Wazungu wana akili sana. Wakitaka kupata actual statistics huwa wanaangalia michango ya majukwaa ambayo watu wanatumia fake id’s kwa usalama wao kama humu na Twitter na pia kupitia watu mbaimbali.
Sasa Magu anadhani anapendwa kwa kusifiwa na wanafiki Ila huku ndo anatakiwa apime kama anapendwa au hapendwi
October nyeusi inakuja kwa magufuli. Mwambie ajiandaeKwahiyo wewe unapima kina cha maji kwenye mitandao? Usiseme hukuambiwa siku ikifika.
Simwambii maana simjui ila kama unadhani uchaguzi wa Rais wa nchi hii ni kama ubishi wa Simba na Yanga kijiweni basi aisee na wewe jiandae kisaikolojia.October nyeusi inakuja kwa magufuli. Mwambie ajiandae
Nikushauri ndugu yangu. Jiandae wewe. Amini amini nakwambia. Tundu Antipas Lissu ndo Raisi wako kuanzia October 2020. Mark my words. Hakuna wa kuzuia nguvu ya Mungu. Duniani na Mbinguni!!!Simwambii maana simjui ila kama unadhani uchaguzi wa Rais wa nchi hii ni kama ubishi wa Simba na Yanga kijiweni basi aisee, jiandae kisaikolojia.
Mimi sichezagi hizo ligi za ubishi wa kijiweni. Mungu unamwingiza vipi kwenye siasa zenu za vumbi hizi. Acha usije ukakufuru bure.Nikushauri ndugu yangu. Jiandae wewe. Amini amini nakwambia. Tundu Antipas Lissu ndo Raisi wako kuanzia October 2020. Mark my words. Hakuna wa kuzuia nguvu ya Mungu. Duniani na Mbinguni!!!
Mm siyo kitengo mkuumbona kitengo Cha propaganda chadema mnafeli sana![]()
![]()
Tofauti kubwa baina ya wafuasi wa CHADEMA na CCM ni sehemu moja tu. Wengi wa CHADEMA wanaishi katika ulimwengu wa kudhania, ulimwengu wa wanasema hivi au vile, ulimwengu wa kubuni, ulimwengu wa kufikirika: Wengi wa CCM wanaishi katika ulimwengu wa halisia, ulimwengu wa kutenda, ulimwengu unaoishi, ulimwengu wa tushasema hivi au vile n.kKila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.
Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
Aliyekutafsiria kilichoandikwa hapo kakudanganya, tafuta mwingine akusomee na kukutafsiria labda utaelewa
Kaa kwa kutulia dawa izame saizi lisu lazima apindue meza viva Lisu viva wanyonge tuna toka unyongen kura yangu kwa LisuDunia ya wp hiyo!!?
Mleta mada hebu nioneshe hapo palipo andikwa "kila Kona ya nchi na dunia kwa ujumla" maana tafsiri niiyonayo hapo Ni ""Wafuasi wa Tundu Lissu wanasema mgombeaji wao atashinda Oktoba" mbona kitengo Cha propaganda chadema mnafeli sana [emoji23][emoji1787]
Hata Lowassa naye alitabiriwa hivyo hivyo na hao jamaa; au umesahau?
Tukutane Oktoba, halafu tukumbushane.Mbona unalinganisha watu wasiolinganishika Lowasa alikuwa hawezi kuongea jukwani na Lisu ndo huyo unamfahamu akiwa jukwaani. Na watanzania huwa hawatabiriki