Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya sita Tundu Lissu ambaye baada ya October 28 atalalamika sana kuporwa uchaguzi.
 
Kwenye chaguzi nyingi za miaka ya huko nyuma chama chetu (CCM) kimekuwa kikitangazwa kushinda hata katika maeneo na nafasi ambazo wapinzani wameshinda.

Figisu hii tumekuwa tukiifanikisha zaidi hususani pale tofauti ya kura inapokuwa ndogo...
Ni muhimu sana
 
Mswahili ni mswahili tu, Hakuna supporter anayetaka mgombea wake ashindwe, Hivi unaweza kutangaza uhakika wa ushindi kupitia supporter? Tena supporter mwenyewe akiwa BAVICHA?
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
Sasa wamesema wao au nyie munaomsapot.
 
Sio kwa Tanzania hii, akipata asilimia30 tu nitawadharau sana waTanzania
 
Ivi wana jf mna matatizo gani?mnataka kumdanganya nn mtanzania? Jpm ndio kila kitu kwa mtanzania na wengine ndio kwanza tunajua lisu bado yupo ughaibuni akitutangazia mabaya na kutoitakia mema nchi yetu. Viva jpm
 
Nenda Kenya tu hapo kawaulize uone wanamuitaje Magufuli. Anaitwa impulsive atheist ruler".
Kwani nyie Kenyatta mnamuitaje? Tambua hayo majina hayazuiliki Mimi namwita TL msaliti wewe unamwuita JPM jiwe bado Mimi na wewe tuna majina yetu mitaani japo hatuyajui
 
Back
Top Bottom