Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

Wana lumumba ukiwaambia habari za kizungu unaonekana wewe ni mchochezi
 
Kuota ndoto haijawahi kukatazwa hata siku moja.
 
2020 hawezi labda ajipange 2025
 
2020 hawezi labda ajipange 2025
Unapaswa kuyajua yafuatayo:-
  1. Tuliopotelewa na ndugu zetu kwa utekaji tuko wengi.
  2. Tuliopata hasara ktk mazao yetu, mfano korosho, tuko wengi.
  3. Tuliopotelewa na ndugu zetu wakakutwa kwenye viroba tuko wengi.
  4. Tuliosomesha watoto halafu hawajapata ajira tuko wengi.
  5. Tulioumizwa na ubaguzi, matusi na dharau tuko wengi
  6. Tuliofilisika kwa sera ya "matajiri wataishi kama mashetani tuko wengi.
 
Kumbuka palipo na matokeo hasi, Kuna matokeo chanya, usiangalie mapungufu tu, ishu ya mauaji, kutekwa pamoja na kupigwa risasi kweli zinaumiza na zinamgusa mtu mmoja mmoja na ni ishu za kijamii, suala la malipo ya mifumo ya serikali linakuwa la mlolongo lakini watalipwa, Maadam upinzani uwe chachu ya kuleta maadili ya walioshika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…