GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ok. Na je nikiitwa na Mahakama kutoa ushahidi nikasema sijui itakuwaje!
Naomba niendelee kujifunza
Ngoja nikujibu, lakini sijui kama utanielewa kutokana na nilivyo kusoma tangia mwanzo wa mada hii.

JIBU:
Kama wewe ni binaadam, unayejitambua kuwa unao utashi uliopewa na Mungu; utautumia utashi wako huo ambao hauwezi kuingiliwa na mtu mwingine yeyote.
Unaweza kuamua chochote mradi huvunji sheria.
Hakuna sheria hata moja inayo mlazimisha mtu kukiuka utashi wake katika mahakama yoyote..
Hakuna anayeweza kukulazimisha ukubali/ukatae kwa kukiuka unavyo elekezwa na utashi wako binafsi..

Unaweza kutumia utashi huo huo kutunga ushahidi wa uongo, au uakautumia kukataa kushuhudia uongo..

Nimemaliza.
 
una kaswende kwenye ubongo
 
Ignored successfully
 
Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto.
Shahidi huwa anaongozwa na wakili, na ktk kesi hii Lissu anajitetea mwenyewe. Hivyo Samia ataongozwa (atahojiwa) na Lissu mwenyewe. Kumbuka Lissu anaielewa sheria vizuri hajakurupuka kuwaorodhesha hao
 

AUDIO OF TODAY'S COURT PROCEEDINGS 22 September 2025

PART 1

PART 01: WAKILI WA SERIKALI AGEUKA KITUKO MBELE YA TUNDU LISSU JAJI AMKATAA " FUNGUA KESI YAKO "

Criminal Case No. 19605/2025 : Republic vs Tundu Lissu September 2025 22 : Court public hearing Sitting of September 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=AO8ntaZ6CxITUNDU LISSU NAMES SAMIA HASSAN, MARTHA KARUA AMONG 15 WITNESSES IN TREASON CASE
 
AUDIO OF TODAY'S COURT PROCEEDINGS 22 September 2025

PART 2

AUDIO OF TODAY'S COURT PROCEEDINGS 22 September 2025

PART 02: TUNDU LISSU AWASHA MOTO KISUTU AWATAJA MASHAHIDI WAKE 15 "SAMIA MTAMKUTA IKULU" SIO KOSA...

Criminal Case No. 19605/2025 : Republic vs Tundu Lissu September 2025 : Court Public hearing sitting of 22 September 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=LO7DMeDhWdsTUNDU LISSU NAMES SAMIA HASSAN, MARTHA KARUA AMONG 15 WITNESSES IN TREASON CASE
 
Lissu akili kubwa
Lol!! Akili kubwa iko wapi pale? Yaani mbumbumbu wa sheria kika utumbo anaosema Tundu mnasema akili kubwa? Anyway hicho kiwango cha umbumbumbu wenu ni kikubwa sana
 
Lol!! Akili kubwa iko wapi pale? Yaani mbumbumbu wa sheria kika utumbo anaosema Tundu mnasema akili kubwa? Anyway hicho kiwango cha umbumbumbu wenu ni kikubwa sana
Sio lazima uone ninavyoona Mimi. Tunatofautiana sana kiwango cha akili.
 
Eeh Mungu kama ikikupendeze naomba umchukue ⌚ 💯
Ma keybord worrior Pori, mnashindwa kujitokez on the ground kupambana sasa una post uharo,
Mnaingia kwa VPN kuwatetea waji nga walio fungia Jf? au wanawatuma mje kwa VPN kuendelea kuwatetea?
 
Ma keybord worrior Pori, mnashindwa kujitokez on the ground kupambana sasa una post uharo,

Mnaingia kwa VPN kuwatetea waji nga walio fungia Jf? au wanawatuma mje kwa VPN kuendelea kuwatetea?
Wewe pimbi kwani umeingiaje humu JF kuja kuharisha pumba hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…