Mkuu sijajua umeandika ukiwa na mtizamo gani. Binafsi nazungumza kwenye spiritual angle. Ulichokiandika NDICHO KILICHOPO.Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.
Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.
Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Huko aliko ni namna ya yeye kuendelea kusukwa. Hajafa Hajawa Rais wa Tanzania.