Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

Mkuu sijajua umeandika ukiwa na mtizamo gani. Binafsi nazungumza kwenye spiritual angle. Ulichokiandika NDICHO KILICHOPO.
Huko aliko ni namna ya yeye kuendelea kusukwa. Hajafa Hajawa Rais wa Tanzania.
 
Nakuombea Uhai. Hautokufa hujashuhudia Tundu Lissu kuwa Rais wa hii nchi.
 
Sahau
 

Ndio maana nakuambia 2020 haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Uchafu ule imekuwa hata ni aibu kuuweka kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi.
 
Acha kuota ndoto za mchana Rais Samia Suluhu 2025 hana mpinzani kwa maendeleo anayoyafanya sasaivi watanzania tuna imani nae
 
Toka aliposema tutashitakiwa MIGA na hatukushitakiwa, tangu siku hiyo nikamdharau kabisa.
 
Tatizo ni Kajamaa kanafiki sana, labda awe raisi wa yanga
 
vizuri
 
Itapendeza sana, Lissu ni akili kubwa kuwahi ku grace taifa hili.
 
Huu uzi umeamsha watu huko wanalala na viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…