Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.

Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi, ruzuku ya 2.7b nk
Ahsante tutamfatilia

Wasafi Ndio kwa Akina Sam Sasali?🐼
 
Hii comment ya kipuuzi naona unairudia kila mahali
Tukuulize ulitaka asaidie nini na wewe umeshasaidia nini na video zako ziko wapi

Kupitia taaluma ya sheria unajua Lisu amesaidia wangapi mpaka sasa
Unajua umaarufu wake ulianzia wapi

Kuwa specific kwa ulitaka asidie nini
Ungemchunia tu.Anatumia dawa zake bado.
 
Hii comment ya kipuuzi naona unairudia kila mahali
Tukuulize ulitaka asaidie nini na wewe umeshasaidia nini na video zako ziko wapi

Kupitia taaluma ya sheria unajua Lisu amesaidia wangapi mpaka sasa
Unajua umaarufu wake ulianzia wapi

Kuwa specific kwa ulitaka asidie nini
Mkuu huyu Mpumbavu ...akiona TANAPA inavuma hajuwi imepita wapi

Merci mingi Lissu ...people and land
 
Hapana, ni ya kina Hando aliyeshangaa Makonda kushangaa utekaji. TCRA lazima wasumbue kesho maana Lisu akiingia kwenye vyombo vya habari ni hatari kubwa kwa ccm. Na ccm hawako tayari tena cdm ipate nguvu iliyokuwa nayo mpaka 2015.
Ok huyu Hando alikuwa pale kwa Cocoo Majizo, nimemkumbuka

Kesho nitamfuatilia kupitia Channel 444 StarTimes king'amuzi 😄
 
Kutoka kufanya maandamano na Mikutano ya hadhara hadi kufanya press conference uchwara redioni HUU NI UJINGA KABISA.Makonda ndo hàbari ya Mjini
 
Back
Top Bottom