kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Alikuwepo kwenye jogging na akapuuzwa hana jipya!Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.
Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi, ruzuku ya 2.7b nk