Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

Yupo wasafi FM muda huu kuwauliza kwanini wamekataa ghafla interview yake
Hahahaha Hando atoe majibu kwanini wamekata gafla interview yake ?😂😂😂😂😂😂
 
Hapana, ni ya kina Hando aliyeshangaa Makonda kushangaa utekaji. TCRA lazima wasumbue kesho maana Lisu akiingia kwenye vyombo vya habari ni hatari kubwa kwa ccm. Na ccm hawako tayari tena cdm ipate nguvu iliyokuwa nayo mpaka 2015.

Angalizo langu la Jana hatimaye limetimia. Ushawishi wa Lisu unafahamika, na ccm wanajua damage anayoweza kufanya Lisu pindi akipata airtime. Katazo hili nililitarajia, na kadiri muda unavyoenda hakuna chombo Cha habari kitaruhusiwa kufanya mahojiano na Lisu, labda makada wengine wa cdm, lakini sio Lisu.

Nguvu ya huyo jamaa inaweza kusababisha mwenezi akakatiza ziara za maigizo, na kikao Cha kamati kuu ya ccm kuitishwa kutokana na damage atakayofanya Lisu.
 
Asipo mtaja Makonda nipigwe ban
Ni kama uende kwenye nyumba ya ibada kisha ushangae shetani asipotajwa. Mbona juzi Kinana mkutano mzima ilikuwa ni kuishambulia cdm, huku muhalifu Makonda akilitaja jina la Mbowe Kila aendapo?
 
Leo Lissu angemaliza mchezo kabisa kuweka ushahidi yote waliyoteta kwenye vikao vya maridhiano. Mzee Kinana kalaumiwa sana na wenzake kwa maneno aliyoropoka juzi kuinanga Chadema, walimwambia umewachokoza sasa watatuabisha sana ndiyo maana bumunda Nape limewapiga mkwala Wasafi wasithubutu kumruhusu Lissu kusema chochote.
 
Back
Top Bottom