Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

Alikuwepo kwenye jogging na akapuuzwa hana jipya!
 
TL Musee ya kufyatuka.....sio ya kukosaaaa
 
Lissu atoe msaada kwa watu waliosababishiwa umasikini na wapumbavu wa ccm.
Watu wanagawana tozo zetu hata ya umeme tu hawaachi ili Nchi isiingie gizani. Unataka Lissu akatoe msaada.
 
Wastage of time.

Hakuna impact itakayotokana na mahojiano hayo.

Makonda Kule anawaambia 'my time is now'
 
Kaona fedha ya ruzuku inapigwa..kaamua kuja kuwahadaa na interview.
 
Aliyewahi kumuona Tundu Lisu akitoa msaada popote aweke video hapa.

Kuna watu hapa duniani wao ni kuombatu


Hata Elimu na kujitoa kuwa tayari kufa kwa maslahi ya wa Tanzania ni sadaka, unafiki, umbea na uzandiki ndo umewajaa
 
Issue sasa hivi ni maandamano tu, hizi ndio siasa za kueleweka vizuri kwa watawala.

Siasa za kuulizwa na kujibu zina utamu wa big G.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nini kimetokea nimejaribu kupata access nimeshindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kusahau mitusi, Kashfa na umimi
 
Itapendeza aongelee zaidi suala la umeme, Maji na kupanda kwa bei za bidhaa za viwandani. Hali siyo nzuri.

Mambo ya Ruzuku na maridhiano yanajulikana kwa kila mtu kuwa CDM walitapeliwa tu CCM hakukuwa na nia ya maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…