Ni swala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.
Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.
Tundu Lisu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil !
Tumekusikia ndugu DAS:
Poleni sana uvccm kwa maana mtasubiri sana.