The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.
Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.
Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!
Huu ndiyo uzuri wa platform hii ya JF...
Kila mtu ANA UHURU WA KUTOA MAWAZO yake bila kujali ni utumbo au nyama safi ya steki...
Ofcoz, haya ni mawazo yako. We respect them...