Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

Sawasawa mtabiri.
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil !
 
Mb
Kwahiyo umelala umeamka ukiamini kichwa kipo fresh, ukajiona umewaza bonge moja ya thread na hapo ndipo akili yako yote ilipoishia! Yaan kabisa unefikiriii ukaona hiki ndicho cha kuandika JamiiForums, aisee hii nchi ina vijana wa hovyo sana! 🚮
Mbona wewe ndo mbu*3?
 
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!
Unaungulia rohoni ukiwa wapi ndugu?
 
Nadhani CHADEMA wameshazoea mishangao, mengi yamewakuta na kuwakomaza. Wewe unashauri nini?
 
Hiyo sms iliyo-screenedshot haina afya kwa Mhe. Rais wetu.

Ni vizuri rais akawajua wamlao.

Wamlao wako nguoni mwake. Hao ndiyo chanzo cha matatizo yote hapa nchini.

Hawana sera wala agenda bali wamewekeza kwenye mifarakano.

Hawa ni wa kula nao sahani moja.
 
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!
Rubbish
 
Haumjui TL vizuri...

Hawa ni wa kula nao sababu moja.
Umenena. Haya magroup ya wasapu yana mambo sana!! Aliye-screen shot ametusaidia sisi wananchi kujua yaliyo chini ya busati kwa mteule/wateule wa Mh. Rais wetu asiye na Makuu!!!
 
Kama Lissu alishindwa kuungama kwa Jiwe sioni kiongozi yoyote Tz hii anayeweza kumtoa ktk mstari aliyopo. Lissu sio cheap kias hicho labda kama Samia atamwambia Lissu 2025 agombee u-Rais afu samia awe makamu wake........ Hili naliooooona😀🚶
 
Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.
Kwa mujibu wa background stories ni kuwa hii kesi ya kina Mbowe ilikuwa catalyzed na Marehemu mtesa wenzake, and wakati wake hakuwa akimuhusisha maza katika mambo mengi hasa yaliyokuwa yamejaa uvunjaji haki which man kunayo mambo ambayo hata mama hayakubali.

Ukisema mama yupo pamoja na Lissu kwenye kumfunga Mbowe, sitaki kuamini kwa sababu ya ground hizo.

I wonder yaani kuonana jana tu ndo jana Lissu ma Pres. Samia washabond kuhusu kumfunga Mbowe... u are kidding man!!!
 
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!
Prophet of doom.
 
Kwahiyo umelala umeamka ukiamini kichwa kipo fresh, ukajiona umewaza bonge moja ya thread na hapo ndipo akili yako yote ilipoishia! Yaan kabisa unefikiriii ukaona hiki ndicho cha kuandika JamiiForums, aisee hii nchi ina vijana wa hovyo sana! 🚮
Ndugu,huyu sio kijana,ni mtu mzima asiye na mke wala mtoto anayetegemea kuishi kwa utapeli wa "naunganisha na fremasoni".
 
Chuki chuki, umbea na udaku akihamia ccm hatakuwa wa kwanza. Na kama ndo uwazalo kakojoe ulale. Akihama hatakuwa mama yetu.
 
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!

Mtahaha uwanja mzima muupige mwingi hadi nje ya uwanja. Kwani hamjawahi kuongelewa?

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Au wewe hayako humo?

Hatudanganyiki mjumbe.

Habari ndiyo hiyo ndugu DAS:

IMG_20220216_212136_442.jpg
 
LISSU AELEZA MAMBO SABA (7) ALIYOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA

1. Ajenda ilikuwa "hali ya siasa ya nchi yetu." mazungumzo yamechukua takribasi saa moja, na mojawapo ya mambo niliyozungumza nae ni juu ya mwenendo wa kesi ya Mbowe.
Mkuu hili si ndio lile ambalo mmemshambulia Zitto lakini. Imekuaje tena.
 
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!
Pumba
 
Usiwaamini wanasiasa
 
Back
Top Bottom