Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini


Tumekusikia ndugu DAS:



Poleni sana uvccm kwa maana mtasubiri sana.
 
Kumbe Mbowe kashafungwa?. Hukumu imetoka lini?
 
Kijakazi.
Ngoja nikanywe chai kwanza
 
Bora ukose vyote ila sio akili
 
Ramli chonganishi japo haijulikani inatokea kambi gani
 
Who knows, ngoja tuone ila angalau najua Lissu ni mtetea tumbo na mtumwa wa kutumwa na anatumika siku zote.
 
TL ni akili kubwa sana, inahitaji uwezo mkubwa wa akili kufukiri, kuelewa na kutafsiri atendalo
 
Acha ushuzi
 
Muda utasema, lkn kilichomfunga Mbowe pamoja na mengine ni Uwenyekiti wake na kwamba Mbowe pia alimlilia Magufuli hilo ni kosa lake pia kubwa, wakati wengine walishangilia!
Umezunguka kote lakini pointi yako ilikuwa kuingiza legacy feki. Pole sana.
 
Unasema?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…