Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini


Huu ndiyo uzuri wa platform hii ya JF...

Kila mtu ANA UHURU WA KUTOA MAWAZO yake bila kujali ni utumbo au nyama safi ya steki...

Ofcoz, haya ni mawazo yako. We respect them...
 
Chief, your wishes won't be granted.

Si vibaya kuishi katika nadharia ili uzidi kuishi katika matumaini. Natambua huielewi CDM kwa undani, wala kabisa huwezi kutambua "internal strengths" zake.

Aidha, huwezi kutambua "its opportunities as opposed to its threats" Huwezi kujua sababu zilizopelekea kutaniko la Rais SSH na Tundu Lissu huko "Bruxelles".
 
Achana nahiyo mi naswali lamsingi!! miaka ya zamani vijakazi walikuwa mali yamtu... waliliwa na mabosi mbayambovu!! Sikuhizi vp hamliwi?
Natanguliza shukran
 
Muda utasema, lkn kilichomfunga Mbowe pamoja na mengine ni Uwenyekiti wake na kwamba Mbowe pia alimlilia Magufuli hilo ni kosa lake pia kubwa, wakati wengine walishangilia!
Kwani mbowe kashafungwa mbona unakuwa na wazimu kama mwanamke aliepandwa na nyege?
 
Kweli ww ni Kijakazi .. pumba tupu!
 
Maccm bana akili hamnaga
 
Ndio mana mbowe kashashtuka, Zitto alipoenda kumuona jela ni Mbowe mwenyewe alimuambia Zitto amuombee msamaha kwa Rais lakini Tundulisu akakataa msamaha akasema aendelee kubaki jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…