PreGE2025 Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baada ya magufuli hii nchi ilikosa watu wenye maamuzi magumu kaja asiyetazama sura, unaharibu unakula consequences palepale! Kama wanafikiri ni status quo wajipange upya
Chagadema inaota kurudi. watanzania hawatakubali
 
Mwisho Huyo Lissu wenu atajikuta anabaki peke yake na hatimaye atajitengua mwenyewe!! Ha ha ha ha!! Ngoja niagize popcorn.
Atabaki bila team Mbowe. Angalia kwenye mikutano yake umati unaofurika. Sio hao waliohongwa na ccm. Hawa G55 wana DNA 1 na wale covid19.
 
Kwenye huu msafara kenge ni wengi sana. Wanajifanya pipoz pawa kumbe njaa ya ubunge. Utadhani ubunge wenyewe unafika tu unapewa. Manina zenu hao CCM wenyewe hawataki ubunge?
Lissu na Lema wana Assylum benefits unataka wengine waishije?
 
Hii movie kali sana. Ninafurahia kila kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Wakishtuka ni 2026.
 
Mwanzoni sikukubaliana na Lissu kugombea uenyekiti ila now naaanza kuelewa kwanini alifanya vile. Nadhani Mbowe kuna kiini macho alikuwa anatufanyia. Bora mnyukano huu umetokea angalau sasa tunajua panapovuja ni wapi
 
Mwanzoni sikukubaliana na Lissu kugombea uenyekiti ila now naaanza kuelewa kwanini alifanya vile. Nadhani Mbowe kuna kiini macho alikuwa anatufanyia. Bora mnyukano huu umetokea angalau sasa tunajua panapovuja ni wapi
Inafikirisha sana aisee
 
Yali tabiriwa, Lissu ni mchanga sana kwenye siasa. Hata fika mbali. Siasa sii uana harakati.
 
Safi sana, ni uamuzi swift, makini, wenye lengo la kulisaidia taifa kupata mabadiliko linayohitaji.

Wabinafsi wapenda vyeo hawawezi kulisaidia Taifa kwa sasa.

Mkutano mkuu chini ya Mwenyekiti Mbowe ulisema NO REFORMS, NO ELECTION. Maamuzi ya vikao vya chama yaheshimiwe!
 
Viongozi waliokataliwa kwenye chama ndio wanaleta vurugu. Huyu Ruge ripoti yake ilikataliwa kwenye Mkutano Mkuu wa Bawacha na baadae akapigwa Chini ukatibu mkuu , Leo analeta ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…