PreGE2025 Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
​
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia​
Huyu Mkurugenzi wao wa habari, asaidiwe, The Correct title ya TAL ni Mwenyekiti wa Taifa.wa Chadema na sio Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Niko shocked na taarifa hii
Pre GE2025 - Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

Huu ni muendelezo wa udikiteta wa TAL ndani ya Chadema!.

Hii tengua tengua, itafuatiwa na kikao cha dharura cha CC yao kukaa kama a kangaroo court na kuwatimua timua hawa 55!.
Lissu atafukuza wangapi?, Chadema itabakiwa na nani na nini?!
P
 
Wasiposhiriki uchaguzi watakosa mpaka ruzuku kidogo wangeliipata. CCM haitegemei matamko ya wapinzani kutetemeka
Wakikataa kabisa kushiriki watakosa ruzuku hata hiyo kidogo ambayo wangeambulia. Pili, urais na ubunge hautegemei kabisa kura za kuhesabu, walishasema wazi wanategemea dola (jeshi) kubaki madarakani. Kuacha ni kuwarahisishia sana kutotumia gharama ya majeshi, na watachekelea sana. Tatu, hatuna watu jasiri wa kulala barabarani japo wiki moja ili kukinukisha. Njaa kali. Njia pekee ni jeshi kupindua, kitu ambacho ni ndoto kutokea. Bora mdogo mdogo kuanza na wabunge japo 60 awamu hii, halafu nyingine 100 mpaka kuwaamsha Nchi nzima. Ni mawazo yangu tu.
 
Watapata wapi ubavu wa kuwanyoshea kidole CCM? Ruge na wenzake walikuwa wanawapima, na wameingia mkenge. Mwanzo tu walitaka kumfukuza Mrema wakastuka. Majuzi kapigwa binti wa Bawacha. Leo hilo. Msimamo wa it's my way or the highway. Halina afya kwa chama.

Amandla...
 
Hiyo timua timua inasubiri yeye kutimuliwa
Lisu ni dikteta uchwara huwa hana kifua cha kuhimili critics wake wawe waandishi wa habari au ndani ya chama au nje huwa ana loose temper haraka mno

Anataka tu watu wa kumuabudu na kumsifu wakati yeye hiyo tabia hana ya kuabudu na kusifu wengine akiweno bosi wake Mbowe akiwa bosi wake

Sasa Wanachadema wameshamuelewa kama dikteta uchwara ndio maana wameshaanza lumwashia taa za hazard bila woga
 
Umekuja kuwapa sapoti G55 Ila Lissu ni Tsunami amekuondolea uwezo kabisa wa Developing Story zako na kufikiri kwa kina hakika Mzee umezeeka sasa
 
..Reforms wanazoziomba Chadema zina ubaya gani kiasi ni ngumu kuzitekeleza?
Utekelezaji wake ni kususia uchaguzi? Haya CCM inaingia kwenye election bila CDM kushiriki what next?

Hili swali lako lingekua relevant ungeuliza kwa wenye nguvu ya maamuzi sio Mimi.
 
Atabaki bila team Mbowe. Angalia kwenye mikutano yake umati unaofurika. Sio hao waliohongwa na ccm. Hawa G55 wana DNA 1 na wale covid19.
Naona Mbowe anakuchonyota sana!! Ukilala ukiamka anakufukuta sana!! 😂😂😂😂😂😂
 
Piga nyundo za kichwa nyoka hao
 
Utekelezaji wake ni kususia uchaguzi? Haya CCM inaingia kwenye election bila CDM kushiriki what next?

Hili swali lako lingekua relevant ungeuliza kwa wenye nguvu ya maamuzi sio Mimi.


..Nazungumzia Reforms.

..sizungumzii " No election "

..kwa maoni yangu Tume Huru anayoipigania Lissu na wenzake ina msaada kwa kila anayependa kushiriki ktk uchaguzi wa HAKI.

..Tume Huru manufaa yake yako hata kwangu mimi, na wewe, ambao nia yetu ni kupiga kura ktk uchaguzi ulio salama, na wa haki.

..Kwa upande mwingine uchaguzi wenye mauzauza kama wa 2019,2020,2024, ni sawa na kutokuwa na uchaguzi au " No election. "
 
Tulia Mzee wa kura moja ambayo ni ya kwako mwenyewe!
Mimi sio Chadema ila Catherine yupo desperate sana ...najua kwa nini....
 
Kwani chaguzi za 2005,2010,2015 zilikua za sheria zipi kutofautisha na 2020?

Hizo reforms zitakuja kwa kususia chaguzi? Maana wa kuzuia chaguzi zisifanyike simuoni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…