PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huko CCM wanaogopa hata kulitaja jina LISSU wanamuita "Msingida"😂😂😂😂😂
 
Sijamsikia akiita lille jina lake la Mama Abdur pengine kasaau!!!!!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.


Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
Kwa hiyo yeye wa jela hayapati ila aliyeko huru ndio anayapata 😆😆😆
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Hiyo ni kujifariji anaona alivo bugi sasa anajitia ujuaji na kiengereza cha ikungi mwache alale kwenye vyumba futi 4 kwa sita jingankabisa
 
Back
Top Bottom