PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unatakiwa ukae kimya,wenye akili na uchungu wa Haki,wakijadili!Nduguyo Mwashambwa Katulia huko mbozi anachakata kimpumu Kwa upole zaidi!
haiwezekani upotoshaji wa waropokaji ukaachwa hivi hivi tu, lazima watu makini na wataalamu kunyoosha mambo :pedroP:
 
Tunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.

Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.

Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.

Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Mimi najiuliza CCM inaogopa Nini?
 
Mh Lissu akipunguza jazba na misimamo mikali angeweza kuja kuwa mwanasiasa makini sana in East and Southern Africa Region
Unataka hawe kama Mbowe huyo ndo kaumbwa ivyo na ndo utajua Mungu fundi
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!

Kesi ya kisiasa hii mkuu, siasa popote na hamna kosa kuhamasisha wafuasi wako kila ukipata nafasi, na sisiemu ndio inatakiwa siasa za hivi, ukiwa mpole wanakuchukua kimyakimya wanakuchinja tu maporini! Bora upige kelele muda wote watu wajue ulipo na wauaji hawatapata nafasi kiurahisi!

Take it easy bro, muziki wake mama anaupata vyema, na siku akiamua kuchukua madaraka yake toka kwa mkwewe kifua kipana mambo yaisha na busara zitatumika kufanya mabadiliko ya kimsingi ambayo kwa sasa hata mtoto keshaelewa Lissu anaadvocate kitu gani!
 
Tunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.

Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.

Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.

Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Mzalendo ww safiii
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Karopoka yeye au maana kuna mtu karopoka vilivyo jana😂😂😂😂
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.


Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
Mungu atamsimamia. Tupo nyuma yake
 
Back
Top Bottom