Wewe ni muumini wa "Lugha za Staha", a.k.a "ULAGHAI"?Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Unajuwa hizo lugha zilipo tufikisha hadi sasa; au huelewi?
