The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Unakuta babu Yake adriz anaweka hizi emoji akitumaga message 🤜🏿🤛🏿👌🏿👊🏿🤘🏿🫶🏿🤏🏿🤞🏿💪🏿 unabaki kushangaa wtf!Nimetoka kumwambia mjukuu wangu wa kiume kuhusu huu ujinga wa kuandika "cc, c, ww, vp, mwl".
Nimemwambia mwanaume rijali katu hapaswi kuandika namna hiyo, hivyo huwa wanaandika wadada (au wanaume walioondoka kwenye kundi la wanaume) wa Tandale na Buza huko ambao kwao shule na kichwani hamna.
Nyau de adriz