Tunapoteza rasilimali nyingi,tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanys kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi,crashing,excessive use of force.Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.