Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,840
- 11,784
Misimamo mikali ndio inayowatofautisha. Samia pia ana msimamo mkali kama chama chake ccm, ni kuamini katika wizi wa kila nyanja kuanzia kwenye kura!Teh teh 😃 😃 Lissu bhana....
huyu jamaa ni mwanasiasa machachari sana japo ana misimamo mikali.