PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Ingekuwa poa mno asimame na mawakili wachache Tu wasizidi 5Natamani ajiteee mwenyewe badala ya mawakili asaidie na Kibatala
Ingekuwa poa mno asimame na mawakili wachache Tu wasizidi 5Natamani ajiteee mwenyewe badala ya mawakili asaidie na Kibatala
Acheni ujinga. Tafsiri ya neno kuropoka ni speak without thinking au talk nonsense. Kikwebo unachokifikiri na kuhisi hakipo kabisa. Tuliza halmashauri ya kichwa chako.Good to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
👍Wangefanya live tbc ili wananchi tuone kinachoendelea.
Au mahakama iwe inauzwa hakimilik ya kuonyesha Kwa Azam tv
KinafkiIkawe kheri kwake siku ya leo
Tulia wewe UWTAtaanza mitusi
Hana fuse hata moja
Wawili tu wanatoshaIngekuwa poa mno asimame na mawakili wachache Tu wasizidi 5
Unalambwa na jirani yanguMbwa koko wee, 🖕🖕
mkulimamiwa hayo ni matokeo ya nidhamu ya uwoga ambayo watu wengi wasiojitambua wamepandikizwa tokea wakiwa watoto kuanzia shule walizosoma na sehemu wanazoabudu.Uropokaki upi mkuu, usilinganishe uwoga ulionao wewe wa kutii jengo la mahakama na kutetemeka bila kujali kosa hata ulilonalo
Wewe ulichoandika hapo, ni Lissu awe mpoole sana na uwoga wa hali ya juu hapo jengoni badala ya hata kesi aliyonayo ya kubumba
Utakuwa na pepo mchafu wewe ndiye anakuboa
Anasema wameyataka watayapata 😁😁😁😁 Lissu ni mwiba kwa watawala mama Abdul kazi anayoLissu ni Shujaa
Magu alikuwa hapendi kabisa Sheria na mawakili. Alikuwa anasema mtu akikamatwa aende moja kwa moja jela, mahakamani ni kupoteza mudaKuijui sheria kuna raha yake,unajua kabisa kwa haya mashotaka wanakupotezea muda tu unatoboa.
Akina Singasinga na Rugemalila pamoja na kuwa na pesa za kulipa mawakili daraja la kwanza ila walikuwa wanatia huruma hapo Kisutu.
🚮🚮🚮Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Namba 4 na 5 nadhani ndio sahihi zaidi kwakeHebu tupe ushahidi kidogo furaha yako kubwa kabisa kwenye hili ipo kwenye kipi? Ambacho kina maslahi na taifa.
1. lisu kukaa gerezani
2. lisu kuwa na kesi ya uongo ya uhaini
3. Lisu kusema kweli wa yaliyopo nchini
4. chuki dhidi ya lisu
5. chuki dhidi CHADEMA
6. Furaha ya kuendelea kuwa na mafisadi yasiyo taka kubugudhiwa nchini.
7. mapenzi kwa CCM.
100%Lissu sio mtu wa kawaida kabisa. Kuna nguvu kubwa sana nyuma ambayo haiwezi kuonekana kwa macho ya kibinadamu.
Huu ushauri ungewapa askari tangia mwazo, watu wasingeumizwa bila ya sababu za msingiGood to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
Ulitaka nisemeje ili isiwe ya kinafiki?Kinafki
Achana na hizo dawa za kulevya unazotumiaMagu alikuwa hapendi kabisa Sheria na mawakili. Alikuwa anasema mtu akikamatwa aende moja kwa moja jela, mahakamani ni kupoteza muda