Sio shujaa tu lissu ni alama ya Imani na amani dhidi ya mashetani ya demokrasia.Lissu ni Shujaa
watesi wanajaribu kumpotezea muda. ila wameshashindwa siku nyingi sana!Hakika lisu ni mpango wa MUNGU
Hakika Andiko sahihi, kwa muda muafaka na nyakati sahihi. Hivi ndivyo ilivyo. AMEN.38 “Kwa hiyo, kwa kesi hii nawashauri waacheni watu hawa wala msiwatendee lo lote, kwa maana kama mpango wao na kazi yao ni mambo ya wanadamu hayatafika po pote; 39 lakini ikiwa ni kazi ya Mungu hamtaweza kuwazuia. Badala yake huenda mkajikuta mnam pinga Mungu!”
Matendo Ya Mitume.
Una mawazo km yangu, natamani wakili awe yeye mwenyewe na asaidiwe na kibatala bas.Natamani ajiteee mwenyewe badala ya mawakili asaidie na Kibatala
Tajiri unakosa MB kweli...duhPicha
Nahisi wewe ndo inatakiwa urudi shuleKuropoka sio kusema uongo, improve your swahili
wameyaganyaga huku anasota korokoroni?🤣Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
Mbwa koko wee, 🖕🖕Hakimu ahairishe kesi hadi June 13 aendelee kukaa kaa ndani hicho kitambi kiishe, na mkuu wa Gereza ahamishwe mara moja inaonekana anambeba beba sana
Si watawala wanataka mtu wa kunyenyekea na kuongea kwa upole kua na nidhamu za woga, ili waku manipulateKusema ukweli sio uropokaji
Uropokaji haupaswi kuwa kosa la jinai.Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!