PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Magu alikuwa hapendi kabisa Sheria na mawakili. Alikuwa anasema mtu akikamatwa aende moja kwa moja jela, mahakamani ni kupoteza muda

Jiwe alizoea vya kunyonga na maisha yake yote yalitawaliwa na vitisho! Hope keshakua kiranja wa malaika kama alivyoombea iwe kule alipo
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.


Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
Zile risasi zilikosea sana kuacha kichwa bila mkwaruzo.

Huyo Bwana kinachoweza kumfunga sio hoja za mahakama wala ushahidi. Unaweza kumfunga kwa hila tu.

Mungu ambariki Kiongozi wetu Tundu Lissu.
 
Tunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.

Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.

Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.

Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Bibi kidude ana mission ya kulipa kisasi
 
Back
Top Bottom