Mahakamani ni kazini kwake, anajua haki zake, yupo huru akiwa Mahakamani kuliko may be hata Nyumbani kwake.
Yale unayosema ameropoka na hajavunja Sheria yoyote, Kama ungekua wewe Kwa mazingira Yale Mahakamani ungekaa kimya kama Bubu Kwa Uwoga huku Machozi yakikutoka Hilo sio kosa la Lissu.
Kwa aina ya Watu kama Lissu wanazaliwa Wachache sana, na hakuna kitu utafanya kumfunga Mdogo, coz yeye amezaliwa hivyo, kitu pekee unaweza kufanya Kwa Watu aina yake ni kumnyamazisha, na walijaribu ila Mungu akakataa...!