PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.

Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
mtu aliyecgannyikiwa unaita ameingia ikibabe? We ni mweupe huwezi kusoma ht saikolojia ya mtu. Huyo kibaraka wenu alipanic, nani ameyataka mwenyewe km siyo kupanic. Anayeshinda naye ni nani< serikali? We kwa upumbavu wako unaamini kabisa ataishinda serikali ya Tanzania? We hii nchi huijui, huyo mwisho wake umekaribia hawezi kufanikisha lolote kea hiyo style ya kishamba.
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
alipanic
 
Sasa kawekwa ndani muda wote huo kaweka mangapi moyoni make, ngoja ayatoe nje!
 
mtu aliyecgannyikiwa unaita ameingia ikibabe? We ni mweupe huwezi kusoma ht saikolojia ya mtu. Huyo kibaraka wenu alipanic, nani ameyataka mwenyewe km siyo kupanic. Anayeshinda naye ni nani< serikali? We kwa upumbavu wako unaamini kabisa ataishinda serikali ya Tanzania? We hii nchi huijui, huyo mwisho wake umekaribia hawezi kufanikisha lolote kea hiyo style ya kishamba.
Angalia ZEZETA lingine hili. Wewe ndiyo umepaniki toka Mungu amponye mna hasira hata na Mungu. We unaijua hii nchi? Kaijua Nyerere Leo Yuko wapi?. Magu na kumpiga risasi huyo huyo aliyekupanikisha Leo Yuko wapi?. Hayo mambo yenu ya kukaririshwa na ccm. Ndiyo yaliokimbiza watu congo kwa kikundi Cha waasi M23. Wakarudi kimya kimya.
Hapo ni vita Kati ya UOVU NA HAKI. Kinachokufanya kupaniki ni upo kundi la WAIVU. Muuweni si mlimpiga risasi.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.

Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
Hana jipya
 
Nimetoka kumwambia mjukuu wangu wa kiume kuhusu huu ujinga wa kuandika "cc, c, ww, vp, mwl".

Nimemwambia mwanaume rijali katu hapaswi kuandika namna hiyo, hivyo huwa wanaandika wadada (au wanaume walioondoka kwenye kundi la wanaume) wa Tandale na Buza huko ambao kwao shule na kichwani hamna.
Wa Tandale na Buza watakujia juu!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.

Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
Anamaanisha kina Lukas mwashambwa na tlaahtlaah ni watoto wa mwana kulitafuta,mwanakulipata!
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Hata Petro wa kwenye Biblia alikuwa mropokaji,ni hulka yake tuu!
 
Tunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.

Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.

Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.

Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Yaani Munjombe, umeongea kwa hisia Kali!Hata Bibi yangu angefufuka Leo,ingawa hakusoma ,Angelia ujinga huu!
 
38 “Kwa hiyo, kwa kesi hii nawashauri waacheni watu hawa wala msiwatendee lo lote, kwa maana kama mpango wao na kazi yao ni mambo ya wanadamu hayatafika po pote; 39 lakini ikiwa ni kazi ya Mungu hamtaweza kuwazuia. Badala yake huenda mkajikuta mnam pinga Mungu!”

Matendo Ya Mitume.
Matendo ya Mitume ngapi mkuu?!
 
Back
Top Bottom