PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe unafanya nini hapo mahakamani wakati wenzako wanajaza fomu za uanachama kule Chauma tayari kula pesa za mama Abdul. Hapo sio mahali pako nenda kule chauma ukale ubwabwa wa Rungwe.

Tuko na kikao cha kamati kuu Chauma cha makubaliano
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Aliropoka Kipi utotoh2002
 
Utakuwa Tomaso bandia,we ni mgeni nchi hii!Huoni ulivyo kinyume na mada!Angelia changizo la Mzalendo,TAL,hata Magereza wanakenua!Ficha aibu Yako!
muhalifu ni muhalifu tu,
hata aende na makamani na library au bookshop ya vitabu vya sheria, ni nonsense gentleman.

hiyo haiondoi makosa yako yanayokufanya usote korokoroni :NoGodNo:
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.

Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.


Pia soma
  1. DSM - Yanayojiri Kesi ya Lissu: Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya mkazi Kisutu
  2. DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
Huyu jamaa noma sana...

Sijawahi ona mshitakiwa wa kesi ya uhaini akiwa amechangamka kizimbani na nyaraka lukuki kama Tundu Lissu...

Na - paraphrase tu: "....Wameyataka wenyewe, watayapata kwa hakika..!!"
 
muhalifu ni muhalifu tu,
hata aende na makamani na library au bookshop ya vitabu vya sheria, ni nonsense gentleman.

hiyo haiondoi makosa yako yanayokufanya usote korokoroni :NoGodNo:
It's a nonsense to a nonsense empty set person like you and your evil collegues..
 
muhalifu ni muhalifu tu,
hata aende na makamani na library au bookshop ya vitabu vya sheria, ni nonsense gentleman.

hiyo haiondoi makosa yako yanayokufanya usote korokoroni :NoGodNo:
Akili unazo,ila unajitia MLA miraa!Ngoja mageuzi yaja soon, Akili itakurudi!
 
Angalia ile video ndugu
Wewe ndiwe mjinga kwa sababu unadhani kila kuzungumza kwa ukali kwa kutumia maneno mliyofundishwa na babu zenu kuwa ni "taboo" kuyatumia, basi ni uropokaji...

Huo sio uropokaji....!!!

Alichokisema Tundu Lissu ni facts tupu...

Kama unadhani maneno hayo aliyoyatamka bingwa huyu ni uropokaji na ni kosa, basi subiri uone kama jamhuri itathibitisha kisheria kosa lililomo kwenye maneno hayo...
 
Saikolojia inasema...."mtu anaye chekacheka sana, ana sonona moyoni" . Lisu hiyo ongea yake hapo mahakamani na kusalimia kila mtu, yupo na kiwango cha juu cha sonona. Anatafuta comfort.
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Unafikiria kwa kutumia utumbo moana bila shaka, Kuongea ukweli ndio kuropoka?
 
Back
Top Bottom