Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kwan TV au hy TBC imekatazwa kuonyesha?Wangefanya live tbc ili wananchi tuone kinachoendelea.
Au mahakama iwe inauzwa hakimilik ya kuonyesha Kwa Azam tv
Ety mahakama uuze hatimiliki Kwa azam 😂
Kwanza c chadema wana online media zao, kwann usiseme chadema wao wnyw ndo waonyeshe?
Wabongo bhana 😂