PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
38 “Kwa hiyo, kwa kesi hii nawashauri waacheni watu hawa wala msiwatendee lo lote, kwa maana kama mpango wao na kazi yao ni mambo ya wanadamu hayatafika po pote; 39 lakini ikiwa ni kazi ya Mungu hamtaweza kuwazuia. Badala yake huenda mkajikuta mnam pinga Mungu!”

Matendo Ya Mitume.
 
Hakika Andiko sahihi, kwa muda muafaka na nyakati sahihi. Hivi ndivyo ilivyo. AMEN.
 
wameyaganyaga huku anasota korokoroni?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…